Naomba kufahamishwa kuhusu chuo cha DIT

Naomba kufahamishwa kuhusu chuo cha DIT

Mkuu inbox za nini funguka hapa hapa, inbox haina umuhimu kwa jambo la uma kama hili, hakuna personal issue hapa.

Pale makali yamepungua, ogapa kipindi hiko inaitwa Dar es Salaam Technical College ( Dar Tech.) Award ilikuwa FTC (Full Technician Certificate)

Elimu imekuwAje sijui siku hizi,jana tu nilimsikia mtaAlamu anasema wanafunzi waliokuwa wanawapokea 80's na 90's ni tofauti na wa sasa,hawa wa sasa uwezo mdogo sana
 
Elimu imekuwAje sijui siku hizi,jana tu nilimsikia mtaAlamu anasema wanafunzi waliokuwa wanawapokea 80's na 90's ni tofauti na wa sasa,hawa wa sasa uwezo mdogo sana
Elimu imekuwa rahisi now mazingatio hafifu.
Imagine life before AutoCAD ila now AutoCAD unafanya zaidi ya hayo ukiwa hata kitandani.

haaaaaaaaaa hiyo sitoisahau nilipokuwa first year
Hatari sana weka mbali na GS
 
D
Unataka kujua nini kuhusu prospectus?
specify course unayoenda kusoma kwanza...kila course ina sifa zake difficult insitute of Tanzania(dit)
Difficult I nstitute ofTanzania nimeipenda hii mkuu nami nmepita hapo Chuo kipo vzr cha msingi unatakiwa kua serious maana pale one mistake two goals
 
Mkuu inbox za nini funguka hapa hapa, inbox haina umuhimu kwa jambo la uma kama hili, hakuna personal issue hapa.

Pale makali yamepungua, ogapa kipindi hiko inaitwa Dar es Salaam Technical College ( Dar Tech.) Award ilikuwa FTC (Full Technician Certificate)
Mkuu matapeli nao huwa hawachezi mbali mi nashangaa inbox aende akafanye nn sasa
 
Class attendance ticha anaipitia wakati unadai make up ya CA, Hapo ogopa sana... CA haisomi ticha anakuuliza unaitwa nani huku kashika attendance!!.
Nimeckia DIT hamna Make up ya CA usipofika una Redo au ikoje sikuhzi, Attendance muhimu kweli asee
 
Unakuja kupiga kozi gani? Principal now ni. Prof.Ndomba

Ukija ufate yalokuleta DIT ni laini mno ila mitihani ndo kila kitu.....

Utata Test 1, test 2 hadi FE jipange
Huyu profesa alikua prof wangu mwaka wa pili CoET akifundisha fluid mechanics. Alichokifanya mwaka wetu watu hawawez kusahau...
 
Huyu profesa alikua prof wangu mwaka wa pili CoET akifundisha fluid mechanics. Alichokifanya mwaka wetu watu hawawez kusahau...
Alifanyaje? Ulikuwa unapiga BSC mech eng? Fluid mechanics huku ni watu wa diploma .. Kweli UDSM easy.
 
Back
Top Bottom