Nana brain
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 488
- 367
Habari wadau, naombeni mnifahamishe mahali ilipo feza primary pamoja na ada yao inakuwaje kwa mwaka
Ntashukuru kwa hilo
Ntashukuru kwa hilo
AiseeNana njoo PM
Kama unatokea shoppaz plaza mikocheni kwenda kawe iko upande wa kushoto baada ya kuvuka daraja maeneo ya tanesco mikocheni au tmj
Ahsanteni wakuuIpo dar es salaam .ipo kwenye njia ya Kawe karibu na TANESCO chama kwa mbele,au karibu na kwa mwalimu nyerere kwa nyuma,,ada zao ni milion 5 kwa mwaka