Naomba kuelimishwa.

Naomba kuelimishwa.

mpuko

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
662
Reaction score
552
Nina simu yangu HTC wildfire s. Inakataa ku-conect na internet. Nifanyeje? Natumai msaada kutoka kwenu. Ahsanteni.
 

.
Use you r brain to change you r age....
KINDA HOLLA
.
yaani ina maana hukielewi unacho jibu....
.
It's TGS and not jukwaa la utani na vichekesho...
Jaribu kutulia bwana mdogo ili u enjoy kuwa na mod mpole....
.
Au ndo mnaanza kuchanganyikiwa na kitu cha february
.
 
Nina simu yangu HTC wildfire s. Inakataa ku-conect na internet. Nifanyeje? Natumai msaada kutoka kwenu. Ahsanteni.

Hiyo simu imekosa APN settings. Nenda settings - mobile networks- access point names halafu kama hakuna create new. Na kwenye proxy weka NOT SET
 
Ahsante ymollel. Ngoja nifanye hivyo. Nikikwama nitarudi.
 
Ahsante sana ymollel. Nimefanikiwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom