Naomba kuelimishwa kuhusu Email

Naomba kuelimishwa kuhusu Email

FALSAFA

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2014
Posts
293
Reaction score
58
Wanajamii4rum NAOMBA MSAADA WENU. EMAIL INATENGENEZWAJE.NI NAMNA GANI ITENGENEZWE AFU WAFANYIA NINI? MWENYE UJUZI ATUJUZE.MNAKARIBISHWA NYOTEE...
 
Mjomba usiumize kichwa kazi ni mmoja tu kama unayo buku mbili tu nenda pale kwenye kilabu ya simba na utaona na bango lake na atakusetea kila kitu tena hapo kwa hapo
 
nisaidien jinsi ua kupost thread yangu humu ndani ya jamii forum au kuandika topic fulani
 
Back
Top Bottom