Skillseeker JF-Expert Member Joined Jan 30, 2012 Posts 225 Reaction score 34 Sep 1, 2012 Thread starter #21 Ninaface matatizo mawili..la kwanza ni jinsi ya kupata hizo data..na kama nikishindwa tatizo linalokuja ni jinsi ya kuitoa hii software na kuirudisha..kabla hujaiunstall inauliza password pia..hapo ndo kimbembe
Ninaface matatizo mawili..la kwanza ni jinsi ya kupata hizo data..na kama nikishindwa tatizo linalokuja ni jinsi ya kuitoa hii software na kuirudisha..kabla hujaiunstall inauliza password pia..hapo ndo kimbembe