chriss brown
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 292
- 63
Hivi msichana kuwa na marafiki wa kiume wengi,ni ufahari au ni nini!,i don't get it.
wanasea kuwa eti wanawake ni wambea na wanaume watakuchangia mawazo ya kimaisha kuliko wanawake wenzao
i didnt get it either ..marafiki wa kivipi?
ooh! Kumbe unafanya kazi!! Salimia boc!basi,mi naona tofauti kidogo kwa huyu bidada tunayefanya nae kazi hapa.
ooh! Kumbe unafanya kazi!! Salimia boc!
We tatizo lako liko wapi?
Nna marafiki watatu tu wa kike nnaowaamini na nnaoweza kuwaeleza mambo yangu, omba ushauri n.k (tena wawili kati yao ni ndugu). Ila wavulana nna zaidi ya sita na wote nawaamini na mambo yangu, japo sina undugu na hata mmoja wao. Wanaume hawawaonei wivu wanawake (labda kama ni wale wambea wambea wasioisha maneno), hawageuzi wanayoambia na kwenda kutangaza kwingine, wasikilizaji na wafariji wazuri, washauri wazuri maana hawapati raha yoyote kuona nikielekea siko, hawazunguki marafiki zao na ni wawazi.Akikasirika/boreka na mimi atanipa live badala ya kunichekea kinafiki, kwahiyo wewe kama una tatizo na hilo endelea tu maana habari ndio hiyo. Some men make better friends than women, luckily I have found some in both genders.
Sijasema usiwe nao lizzy,you get me wrong.
Basi,mi naona tofauti kidogo kwa huyu bidada tunayefanya nae kazi hapa.
ooh! Kumbe unafanya kazi!! Salimia boc!
Trying to connect some dots between chriss brown and marida......poa feis buku..soon ntajiita twitter.
Trying to connect some dots between chriss brown and marida......
ukishafanikiwa kuconnect hizo dots unifahamishe na mimi tafadhali.. maana sijaelewa juu ya hizi mtu 2Trying to connect some dots between chriss brown and marida......
We tatizo lako liko wapi?
Nna marafiki watatu tu wa kike nnaowaamini na nnaoweza kuwaeleza mambo yangu, omba ushauri n.k (tena wawili kati yao ni ndugu). Ila wavulana nna zaidi ya sita na wote nawaamini na mambo yangu, japo sina undugu na hata mmoja wao. Wanaume hawawaonei wivu wanawake (labda kama ni wale wambea wambea wasioisha maneno), hawageuzi wanayoambia na kwenda kutangaza kwingine, wasikilizaji na wafariji wazuri, washauri wazuri maana hawapati raha yoyote kuona nikielekea siko, hawazunguki marafiki zao na ni wawazi.Akikasirika/boreka na mimi atanipa live badala ya kunichekea kinafiki, kwahiyo wewe kama una tatizo na hilo endelea tu maana habari ndio hiyo. Some men make better friends than women, luckily I have found some in both genders.
chriss brown=maridatrying to connect some dots between chriss brown and marida......
Hao unawapotezea tu, nakumbuka kuna mshkaji tulitokea kuwa marafiki shuleni yani kila mtu mpaka walimu walikua wanasema tuna mahusiano zaidi ya urafiki ila hatukujali tukawapotezea na sisi tukaendelea na urafiki wetu.Ukiwaignore baada ya muda watatulia wenyewe.Hata mimi nina marafiki kadhaa wa kike, amboa ni ''just friends''. Japokuwa kuna watu bado wana mawazo mgando kwamba haiwezekani kwa watu wa jinsia tofauti kuwa marafiki tu. Ni mawazo yaliyopitwa na wakati katiak ulimwengu wa leo ambapo maisha ni mchakamchaka!