Naomba kueleweshwa TANESCO watapata wapi fedha

Mangi flani hivi

JF-Expert Member
Jan 2, 2016
2,026
3,104
Tanesco wanaeleza kuwa wamepunguza garama za umeme, naomba mwenye uelewa juu ya hili anijuze:
Je,
-kilichopunguzwa ni nin????
-Kama walivyokuwa wanatucharge ni vya muhimu ie service charge, watapata wapi fedha za kufidia Hilo gap???
-siamini Kama hii ni huruma kwa walaji, naona ujipu hapa......msaada tafadhali wajuzi wa mambo...
 
Ni kundi dogo sana walikuwa. Wanalipa service charge, watumiaji wakubwa ambao ni viwanda walikuwa hawalipi. Palikuwa na unyonyaji hapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom