Naomba kueleweshwa juu ya hili

Naomba kueleweshwa juu ya hili

Chocolate

Senior Member
Joined
Feb 5, 2009
Posts
117
Reaction score
48
Nimekutana na tangazo la kazi mojawapo ya kigezo ni hiki" completion of high school majoring in a business related subjwcta including accounting, finance, economics or management is required. Additional technical education or formal training in accounting or management is required. Completion of at least two parts of CPA is required " naomba kueleweshwa hasa hapo kwenye sentensi ya mwisho hizo two parts of CPA ndo zipi? Je kwa kiwango tajwa cha elimu kweli mtu anaweza kuwa na CPA?
 
Back
Top Bottom