K Koryo2 JF-Expert Member Joined Nov 28, 2016 Posts 2,056 Reaction score 2,523 Dec 7, 2018 #1 Sheria ya mafao kwa Wastaafu inatamka kuwa mstaafu atalipwa kwa miaka 15.5 baada ya kustaafu. Sasa swali linakuja. Je kama bahati nzuri Mwenyezi Mungu kakuweka kuishi zaidi ya miaka hiyo miaka 15.5 wataendelea kukulipa mpaka kifo chako?.
Sheria ya mafao kwa Wastaafu inatamka kuwa mstaafu atalipwa kwa miaka 15.5 baada ya kustaafu. Sasa swali linakuja. Je kama bahati nzuri Mwenyezi Mungu kakuweka kuishi zaidi ya miaka hiyo miaka 15.5 wataendelea kukulipa mpaka kifo chako?.
reyzzap JF-Expert Member Joined Oct 3, 2014 Posts 6,826 Reaction score 21,945 Dec 7, 2018 #2 Hulipwi, halaf kuish miaka 90 kwa dunia ya leo ni sifa na woga wa kufa
K Koryo2 JF-Expert Member Joined Nov 28, 2016 Posts 2,056 Reaction score 2,523 Dec 7, 2018 Thread starter #3 Huwezi kujua. Mungu anaweza kukuweka hata mpaka miaka 100 baada ya kustaafu.