Naomba kuelekezwa umbali ambao oil za castrol hutumia

Kuna mwana nilimwambia khs suala la yeye kutumia SAE 40 badala ya 5w-30 akajifanya mjuaji sa hivi engine yake inalia kama vile vigari/vibajaji vya Mo Entreprises hahah.
Dah hapa nimegundua kuna changamoto kubwa sana kwenye uelewa wa oil... Wapendwa watu wajitahid sana kutafuta knowledge ya haya mambo lasivo mafund wataharibu sana magari.. Unakuta mtu ananunua oil kwa jina la kampuni badala ya standard recommended na manufacturer.. Mfano utakuta gari inataka utumie oil ya 5w-30, 5w-40, ambazo ni synthetic oil, mtu anakwenda nunua oil imeandikwa SAE 40, hvi jaman unadhan hyo engne ita dumu... ? Elimu ya oil ingia google utapa, na hata ukitaka kufahamu recommended oil kwa gari yako utapata majibu.. We type aina ya gari na model ya engine utapa details zote za oil inayotakiwa.
 
watu wanashindwa kutofautisha kati ya synthetic and mineral oil, kila kampuni za kutengeneza oil wanatengeneza hizo oil za aina 2....unakuta mtu anakariri castrol zinaenda km nyingi na anaweka mineral oil matokeo yake anaenda km nyingi kuzidi uwezo wa oil kuhimili hapo kinachofuata ni kuua engine tu
Watanzania bado tuna safari ndefu sana...
Tumekariri oil nzuri ni Castrol...
Tumekariri gari nzuri ni Toyota...
Demu mzuri ni mwenye tako...

Kumbe kuna kampuni nyingine tofauti na hizo na zina bidhaa nzuri tu..

Watu wasome tofauti ya mineral oil na synthetic oil...

Ukishapata elimu hiyo, utakuwa huru kununua oil kutoka kampuni yoyote unayoiamini au inayoendana na kipato chako..

By the way, Kibongo bongo Castrol, Oryx na Total zinafanya vizuri na zinaendana na uchumi wa watu wengi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je hii inaenda kilomita ngapi.? Nataka niweke kwenye Toyota Allex CC 1490

Sent using Jamii Forums mobile app
IMG_0012.JPG
 
Je hii inaenda kilomita ngapi.? Nataka niweke kwenye Toyota Allex CC 1490

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaenda Km 9000 kama utakua umefunga oil filter genuine na sio hizi za kawaida zimeandikwa genuine lakini kumbe sio ila ukifunga hizo za kawaida hakikisha unabadilisha oil kabla ya km 5000 na mwisho kabisa unashauriwa kubadilisha oil pindi uonapo imepungua kuliko kawaida hata kama haijafikisha hizo km zake kwa ushauri na jinsi ya kujipatia oil nzuri +255719263074/+255762263074

Filter nimefunga genuine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinachofanya oil ziende km nyingi siyo jina (Castrol, BP oryx n.k) bali in teknolojia iliyotumika kupata oil husika. Oil ya kampuni yeyote ikiwa ni synthetic technology huwa inakuwa na uwezo mkubwa kuliko oil za kawaida (Mineral Oil). Ninaposema uwezo mkubwa namaanisha uwezo Wa kulinfa injini isichakae, kupunguza matumizi ya mafuta na kukaa muda mrefu toka ilupowekwa had I kubadirishwa
Tutaijuaje hii mkuu tukienda dukani? Halafu nasikia mafundi wanatuwekea feki siku hizi...
 
Tutaijuaje hii mkuu tukienda dukani? Halafu nasikia mafundi wanatuwekea feki siku hizi...
Usikubali fundi akuwekee oil ambayo hujainunua mwenyewe kitendo cha kumpa pesa na kumwambia niwekee oil hii hakika mzee haiwekwi utaonyeshwa dumu tu cha kufanya fika kwenye maduka yanayoaminika yanayouza oil na umwambie naitaji oil Fulani ambayo ni synthetic na hapo utapata kitu kizuri na hakikisha unapokwenda kwa fundi kubadilisha usimwache mwenyewe hakikisha anamwaga na kuiweka hii uliyonunua na wewe ukiangalia tofaut na hapo inakula kwako ni wazi mafundi wengi wanawawekea oil feki kwa ushauri wa oil bora +255719263074/+255762263074

Bro.upo wapi hapa Dar...au lazima tukupigie simu!
 
Ni oil gani nzuri kwenye engine ya 5L diesel?
Tumia chasis number mkuu i.e kwangu mimi hua na google hivi "KZN130 recommended oil" ila mnyama yupo service akitoka tu naenda Toyota kariakoo pale na chasis number waniambie niweke oil ipi..Engine, ATF, Diff, na makorokocho yake yote...
 
Inaenda Km 9000 kama utakua umefunga oil filter genuine na sio hizi za kawaida zimeandikwa genuine lakini kumbe sio ila ukifunga hizo za kawaida hakikisha unabadilisha oil kabla ya km 5000 na mwisho kabisa unashauriwa kubadilisha oil pindi uonapo imepungua kuliko kawaida hata kama haijafikisha hizo km zake kwa ushauri na jinsi ya kujipatia oil nzuri +255719263074/+255762263074

Sent using Jamii Forums mobile app

Filter genuine zinapatikana wap na bei gan?
 
Back
Top Bottom