Naomba kuelekezwa namna ya kudownload Video Telegram

Mamserenger

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2019
Posts
1,156
Reaction score
2,120
Wakuu,

Nimekuwa nikipata shida sana kila napo download video Telegram hasa napo tumiwa move yenye Mb kuanzia 300mb.Ninapo Download huwa inaenda slow sanaa. Na Tena ninapo toka ktk Download window ina stop.

So Naomba msaada nifanyeje? Ili ni download Season yangu Telegram?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Kwanza zima auto-download ya picha, GIF, Audio video hii inachangia kuslowdown speed pia tatzo la kutoka kwenye download window nenda kwenye setting ya sim yako Allow background data kwenye App ya Telegram then leta feedback.
 
Telegram wana auto download ukifungua tu video
 
Kwanza zima auto-download ya picha, GIF, Audio video hii inachangia kuslowdown speed pia tatzo la kutoka kwenye download window nenda kwenye setting ya sim yako Allow background data kwenye App ya Telegram then leta feedback.

Kiongozi hizi video za Telegram nikishazi-download nazikuta kwenye folder gani kwenye file manager mkuu...?
 
Mkuu, kwenye folder la android nimekuta folder la Data ila halina file la org.challegram.org kiongozi.
Kwenye simu yako kuna file Manager, alafu kuna app ya files zipo mbili ila icon tofauti, tumia app ya files hiyo nyingine.

Au niambie unatumia simu gani?
 
Mkuu unamaanisha hilo files...? Natumia Infinix Note 10 mkuu...!

Screenshot_20220106-184753.jpg
 
Kiongozi hizi video za Telegram nikishazi-download nazikuta kwenye folder gani kwenye file manager mkuu...?
Ukimaliza ku download movies ama video yako, palepale kwenye video husika kwenye kona utaona vidoti vitatu bonyeza itakuletea machaguo chagua save to downloads....ina sevu kwa kuhesabu ikimaliza nenda kwenye file utaona movies/video husika kama unatumia VLC ama MX player ukifungua tu utaona video yako.
 
Hivi ndo huwa nafanya,maana nilikuwa nahangaikaga sana kuitafuta baada ya kudownload.
 
Ukimaliza ku download movies ama video yako, palepale kwenye video husika kwenye kona utaona vidoti vitatu bonyeza itakuletea machaguo chagua save to downloads....ina sevu kwa kuhesabu ikimaliza nenda kwenye file utaona movies/video husika kama unatumia VLC ama MX player ukifungua tu utaona video yako.
Baada ya kudownload bonyeza tule tudot tutatu juu ya video kuna option pale "Save to downloads" au "Save ti gallery"

Nimeona wakuu...!

Screenshot_20220107-100004.jpg
 
Back
Top Bottom