Naomba kuandamana kupinga furaha za watanzania wanapofariki viongozi kutoka CCM

Naomba kuandamana kupinga furaha za watanzania wanapofariki viongozi kutoka CCM

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,937
Reaction score
10,815
Badala ya kutoa taarifa, sasa Jeshi la Polisi mmejipa mamlaka ya kuombwa ruhusa ya kuandamana.

Haya, mimi Sifi Leo sifurahishwi na raha na furaha wanayokuwa nayo vijana wa Kitanzania pale anapokufa kiongozi yeyote kutoka Chama Cha Mapinduzi. Hili ni doa kubwa mno katika taifa.

Maandamano napanga kuanzia nyumbani kwangu Kisana mpaka Rumumba jijini Dar es Salaam.
 
Safi sana. Wakikuruhusu washtue GenZ Ili wakuunge mkono
 
Back
Top Bottom