Oky mkuu nashukur kwa ushauri wako!!!Nawashangaa vijana wengi wanapenda kazi ya udereva badala ya ufundi(technician).
Fundi kwa seculars zetu Tanzania analipwa vizuri zaidi ya dereva ingawa udereva wanahitaji vigezo vingi kuliko ufundi.
Halafu udereva ni kazi ya kutumwatumwa sana.
Airwing nakutakia kila la Kheri...Tafadhali ukipata naomba urejee kutufahamisha kwamba umepata...Jaribu kutuma maombi Azam na Makampuni makubwa kama Bollore nk...Kila la Kheri mkuu.Kwa majina Naitwa Odax Alex,
Jinsia: Mme
Umri:24
Kabila:Haya
Elimu:Form iv
Fani: Dereva
Madaraja: A, A2, B, D ,E
Shule: REGIONNAL VETA Dar, Chang'ombe
Ufaulu: 'A' for 4View attachment 648372View attachment 648373View attachment 648374 subject and 'B' 2 among all 6subjects.
Language: Fluently Swahili and English.
Uzoefu: Miaka 2..
Sivuti Sigara wala Kunywa Pombe
Naishi Dar ilala nipo teyari kufny kaz mkoa wowote na mahali popote ndani ya Tz, iwe personal driver au commercial vehicles.. Blessed 0657 230355 whatsup, calls and texts.. Or email: Kasitaodax@gmail.com
Amina Nashkuru kwa Baraka zako!! Nitajarb kutuma kiongz...Airwing nakutakia kila la Kheri...Tafadhali ukipata naomba urejee kutufahamisha kwamba umepata...Jaribu kutuma maombi Azam na Makampuni makubwa kama Bollore nk...Kila la Kheri mkuu.
Nimesema ukiajiriwa kiwanda cha sigara ama cha pombe hutafanya?Ulevi na Sigara ni hatari kwny Kazi hii sio kiafya tu,!!!
Mzee ukiwa unapita na lile Lori lenu unirushie soda mojaAksanteni wakuu, nilifanikiwa kupata kazi GREENWEST PRO. CO baadae Nika apply SBC Pepsi ambako Nipo mpaka sasa.... !! [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji1666][emoji1666][emoji1666]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao SBC sina hamu nao, walinifanyia interview lakin mpaka Leo hawapigi simu yaan hata tafadhar nipigie tu!!Aksanteni wakuu, nilifanikiwa kupata kazi GREENWEST PRO. CO baadae Nika apply SBC Pepsi ambako Nipo mpaka sasa.... !! [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji1666][emoji1666][emoji1666]
Sent using Jamii Forums mobile app