Mie ni kijana mwenye umri wa miaka 20 nilimalza kidato cha nne mwaka 2011 nilipata Div IV -26 nili apply vyuo vya serikal na binafsi mwaka jana ila nilikosa serikalin na nikapata vya binafsi kulingana na gharama kubwa sikuweza kwenda chuo nasubiri tena mwaka huu ni apply tena vyuo.
nilisoma short course ya computer ktk chuo cha Sokoine University Of Agriculture{SuA} na nilifaulu km ifuatavyo:
Microsoft word:-A
Microsoft Excel and Application:-A
Internet basics:-B
Microsoft Publisher:-A
Ninakaa Morogoro nko tayar kufanya kaz popote hapa Morogoro mjini kwa yyt aliyeko tayar kunisaidia kazi atleast nipate hata pesa ya ada. Ni Pm nitajibu msg yako
Ahsante naomben tafadhal msaada wenu