Naomba kazi, nina taaluma ya Music, IT

Naomba kazi, nina taaluma ya Music, IT

Habari, nakuomba unipatie kazi yoyote kutokana na ujuzi wangu kama nilivyojieleza chini ya kipengele cha ujuzi nilionao/taaluma.

WASIFU/UZOEFU/ELIMU

- Nina umri wa miaka 23.

- Naishi Dar es salaam, naishi mwenyewe na sijaoa.

- Elimu yangu kubwa amabayo natambulika kiserikali ni diploma ya afya ya wanyama na uzalishaji(animal health and production).

- Nina uzoefu wa kufanya kazi mbali mbali za kijamii na kitaaluma kwa kushiriakana na watu tofauti tofauti wadogo kwa wakubwa za kulipwa za kujitolea.

- Uzoefu wangu kwenye matumizi ya mtandao(internet) ni miaka 14.

UJUZI NILIONAO/TAALUMA
-Livestock treatments(Kutibu mifugo).

-Music production(audio).

-Computer maintenance(Software).

-Internet troubleshooting.

-Microsoft word/excel/publishing/internet and emails (hii nilisomea UCC).

-Typing 70 words per minute.

-Web designing(competent in wordpress CMS).

- Kuandaa website kwa ujumla kwa namna yoyote ile kitalaam mpaka ikakamilika.

- Kama ukihitaji a world class complex websites kama github facebook sitweza kutengeneza mwenyewe ila nitaungana na team yangu ukatenezewa kwa bei nafuu kuliko uhalisia.

-Web tasks automations.

- Kutengeneza Android applications aina yoyote nikiwa mimi mwenyewe au kwa kushirikiana na wataalam.

- Mobile phone spying (Kuweza kusoma sms, recent calls, whatsapp texts etc kwenye sim nyingine kwa kutumia sim yako endapo kama nikiweza kuishika targeted phone by legal means).

- Remote admnistration tools (RAT) (kupata access ya computer nyingine na nakuitumia bila kuishika by legal means).

- Kujieleza au kuelezea jambo ninalolifahamu vyema kwa kutumia lugha za kiswahili na kiingereza kwa ufasaha.

- Digital marketing (iwe ni website promotion, social media personal account au bidhaa yako ukihitaji kuipromote kwa njia halali au ile itakayowakera baadhi ya watu kwa manufaa yako).

- Youtube SEO (kuongeza likes, dislikes, subscribers, views, video kuonekana ya kwanza kwanza watu wakiwa wanaitafuta kwa kutumia keyword fulani).

- Vingine ninavyoweza kuvifanya nimevisahau kwa sasa nikikumbuka nita rekebisha kuviongeza.

NYONGEZA: Kuna mtu anaweza akajiuliza sasa kama yote hayo unayafahamu kwanini usijiajiri, vizuri.

Nilijaribu kujiajiri kwa muda mrefu maisha yalikua yanaeda japo kulikua na changamoto za hapa na pale haswa baada ya baba yangu kufariki ila kama ilivyo kwa watu wote, siku zote kwenye maisha kuna kupanda na kushuka na kila jambo linachangamoto zake.

Naweza kusema kwa kipindi hiki nipatia wakati kigumu zaidi ya niliyowahi kupitia na kwa sasa sina kazi inayoniingizia kipato yani hapa naishi kwa kiakiba kidogo nilichojaribu kukihifadhi kipindi cha nyuma.

Naweza kufanya kazi nyingi ila hizo ambazo nilimezieleza hapo juu, ndizo ambazo nina ufanisi nazo mzuri. Naomba msaada wa kazi kwako nitaarifu chini ya uzi huu au direct message.

Ahsante!
Njoo pm
 
Nenda Kwa mafundi computer kajishukize,huko utapata fursa ya kusonga mbele
Shukrani kwa ushauri nitajribu kufanya hivyo.
Kwa wengine bado nawakaribsha kuchangia kama unaona kuna kazi yoyote naweza kukidhi kutokana na nijilivyojielezea ukirejea kwenye uzi mkuu, waweza nipa muogozo jinsi ya kufanikisha kazi hiyo hapa au dm.
 
Weka na kiasi cha malipo utakayopenda kulipwa
Nashkuru kwa ushauri mkuu. Kutokana na kila kazi inachangamoto zake ambazo haziingiliani na nyenzie basi kama ningeanza kuelezea viwango vya malipo uzi ungekua mrefu zaidi na nilifikiri ingeondoa ule uzito wa lengo langu kuu na mtazamo niliolenga watu waupokee kupitia ombi langu hili.
 
Hongera, kwa kuwa na uwezo na pia kwa kuwa na uwezo maradufu wa kujieleza.

Pili, pole na hali unayopitia na Hakika hivi karibuni utaweza kuona mwanga.

Tatu, nitakutafuta ujiunge na team yangu hivi karibuni ikiwa hujapata mustakabali wa malengo yako.

Nne, amini katika unayoyafanya usiyumbishwe.

Sergio
 
Waweza kuonyesha baadhi ya kazi ulizofanya kama ushuhuda? Mfano: websites, software, mobile app(s)?
 
Ndio naweza kukuonesha, sikudhamiria kuzionesha hadharani kazi nilizozifanya binafsi au kwa kushiriakana na watu wengine kwasababu zimeshakua biashara kwahio niliona nisingepeda kua sehemu ya promotion au kutengeneza mantiki ya namna hio ila kwasababu umeshauliza kwasasa naweza kukujibu japo kwa uchahe:

Websites
digifunds.me
elitecards.cc
*Hizi website nilihusika binafsi kwa 100%
Mobile apps(android)
the42.ie sports news
eyewitness news bahamas
*Kwenye kwenye hizi apps nilikua sehemu ya team japo mimi ndie nilifanya pakubwa kwenye uandaaji.

Kwa ujumla hizo ni baadhi ya kazi nilizozifanya. Nimeandaa websites nyingi zaidi ukilinganisha na mobile apps and softwares kwa sababu huko ndipo nilijikita zaidi kwenye biashara zangu. Kwasasa sina software ambayo ipo hewani kutokana na nilikua nime-focus zaidi kwenye vitu vingine kwahiyo hata zile ambazo nilikua nimetengeza kwa matumizi binafsi zinanihitaji nizi update na kingine sijapata tenda za software wala kuweza kujitengenezea mwenyewe kwa mda mrefu kidogo ijapokua kama itatokea kazi basi itafanyika bila tatizo.

Pia kwa sasa binafsi nimebakiwa na website moja tu nayoatumia kuuza kazi zangu za mziki na hii niliisajiri kwenye host and domain registrar mwingine natumia free domain (link removed, not allowed) baada websites zangu 7 kupata misuko suko na mpaka muda huu ninaojibu comment yako websites zote 7 hazipo hewani. Hizi websites 7 nilitumia freenom.com as my domains's registrar na kulitokea tatizo nadhani na hii ni kwa kwatu wote amabao walijisajiri freenom wanafahamu kinachoendelea. Kwasasa ndani ya freenom.com siwezi kurenew websites zangu, kusajili domain mpya na kwanza muda mwingine hata niki login nikitumia sekunde kadhaa inani log out watumiaji wa freenom wanaweza kunisadilia hili.
Screenshot (275).png

Hapo kama unavyoona kwenye screenshot nikiwa nimebakiwa na websites nne tu ambazo tatu nilizozuiwa kuzirenew zime-expire na hizo zilizobakia hakuna inayofanya kazi hata moja japo zinaonesha zipo active unaweza ku recheck.

Na nikiwa muwazi, hili suala la websites zangu kufa ni miongoni mwa vitu vikubwa vilivyopelekea mpaka kufikia hatua hii ya kuandaa uzi huu wa maombi ya kazi.
 
Hongera, kwa kuwa na uwezo na pia kwa kuwa na uwezo maradufu wa kujieleza.

Pili, pole na hali unayopitia na Hakika hivi karibuni utaweza kuona mwanga.

Tatu, nitakutafuta ujiunge na team yangu hivi karibuni ikiwa hujapata mustakabali wa malengo yako.

Nne, amini katika unayoyafanya usiyumbishwe.

Sergio
Nashkuru sana sana na maneno yako kiukweli yamenitia moyo. Nitakutaarifu kama bado sijaona mwanga baada ya siku chache zijazo.
 
Habari, nakuomba unipatie kazi yoyote kutokana na ujuzi wangu kama nilivyojieleza chini ya kipengele cha ujuzi nilionao/taaluma.

WASIFU/UZOEFU/ELIMU

- Nina umri wa miaka 23.

- Naishi Dar es salaam, naishi mwenyewe na sijaoa.

- Elimu yangu kubwa ambayo natambulika kiserikali ni diploma ya afya ya wanyama na uzalishaji(animal health and production).

- Nina uzoefu wa kufanya kazi mbali mbali za kijamii na kitaaluma kwa kushiriakana na watu tofauti tofauti wadogo kwa wakubwa za kulipwa za kujitolea.

- Uzoefu wangu kwenye matumizi ya mtandao(internet) ni miaka 14.

UJUZI NILIONAO/TAALUMA
-Livestock treatments(Kutibu mifugo).

-Music production(audio).

-Computer maintenance(Software).

-Internet troubleshooting.

-Microsoft word/excel/publishing/internet and emails (hii nilisomea UCC).

-Typing 70 words per minute.

-Web designing(competent in wordpress CMS).

- Kuandaa website kwa ujumla kwa namna yoyote ile kitalaam mpaka ikakamilika.

- Kama ukihitaji a world class complex websites kama github facebook sitweza kutengeneza mwenyewe ila nitaungana na team yangu ukatenezewa kwa bei nafuu kuliko uhalisia.

-Web tasks automations.

- Kutengeneza Android applications aina yoyote nikiwa mimi mwenyewe au kwa kushirikiana na wataalam.

- Mobile phone spying (Kuweza kusoma sms, recent calls, whatsapp texts etc kwenye sim nyingine kwa kutumia sim yako endapo kama nikiweza kuishika targeted phone by legal means).

- Remote admnistration tools (RAT) (kupata access ya computer nyingine na nakuitumia bila kuishika by legal means).

- Kujieleza au kuelezea jambo ninalolifahamu vyema kwa kutumia lugha za kiswahili na kiingereza kwa ufasaha.

- Digital marketing (iwe ni website promotion, social media personal account au bidhaa yako ukihitaji kuipromote kwa njia halali au ile itakayowakera baadhi ya watu kwa manufaa yako).

- Youtube SEO (kuongeza likes, dislikes, subscribers, views, video kuonekana ya kwanza kwanza watu wakiwa wanaitafuta kwa kutumia keyword fulani).

- Vingine ninavyoweza kuvifanya nimevisahau kwa sasa nikikumbuka nita rekebisha kuviongeza.

NYONGEZA: Kuna mtu anaweza akajiuliza sasa kama yote hayo unayafahamu kwanini usijiajiri, vizuri.

Nilijaribu kujiajiri kwa muda mrefu maisha yalikua yanaeda japo kulikua na changamoto za hapa na pale haswa baada ya baba yangu kufariki ila kama ilivyo kwa watu wote, siku zote kwenye maisha kuna kupanda na kushuka na kila jambo linachangamoto zake.

Naweza kusema kwa kipindi hiki ninapatia wakati kigumu zaidi ya niliyowahi kupitia na kwa sasa sina kazi inayoniingizia kipato yani hapa naishi kwa kiakiba kidogo nilichojaribu kukihifadhi kipindi cha nyuma.

Naweza kufanya kazi nyingi ila hizo ambazo nimezieleza hapo juu, ndizo ambazo nina ufanisi nazo mzuri. Naomba msaada wa kazi kwako nitaarifu chini ya uzi huu au direct message.

Ahsante!
Kama unaviweza hivyo vyote practical basi ww ni kampuni iliyo kamilika cha msingi JIAMINI na husiache kusoma Programming kwani ndio future.
 
Wacheki hawa jamaa kwa upande wa Mobile Apps ,Web design and development
Talents are always welcome
Email:

jobs@ipfsoftwares.com

Looking for developers (graduates) to work with in Dar Es Salaam. People who are eager to adapt multiple situations and provide a wide range of solutions, see our WEBSITE. Contact us at Send email for further discussion.
 
Kwa hayo mambo aliyoandika hapo kama kweli unauwezo wa kuyafanya huna haja ya kutafuta kazi

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom