Naomba kazi au kibarua mkoa wowote

Naomba kazi au kibarua mkoa wowote

Joined
Aug 19, 2020
Posts
66
Reaction score
55
Habari wana Jamii Forums,​
Naomba kwa yeyote anayeweza anisaidie kazi/kibarua au hata mtaji kama itawezekana kwa mkopo baada ya makubaliano.​
Jinsia: Me.​
Elimu: Kidato cha sita.​
Makazi: Dar es salaam.​
NB: Niko tayari hata ikipatikana mkoani(nje ya dar).​
Nawasilisha.​
 
Sio kweli unamdanganya mwenzako.
Elfu 6 kwa siku ndio kulipa vizuri?
Sasa mtu aliyetoka mkoa mwingine ataishi vipi hali ya kuwa huko ni mgeni!
pamoja sana ila pale ajira ni uhakika na wanalipa vizur kwa wakati
 
Sio kweli unamdanganya mwenzako.
Elfu 6 kwa siku ndio kulipa vizuri?
Sasa mtu aliyetoka mkoa mwingine ataishi vipi hali ya kuwa huko ni mgeni!
Usisahau pia unaanza kujitolea kwa siku kumi kwanza ndo uje ulipwe huko badae hahaaa yaani wahindi wale ni wanyonyaji mno imagine ellfu 6 kazi ya kufanya kuanzia saa 12 mpk 12 jioni dah!
 
yes mimi kazi ya kinyonyaji hivi siwezi kuvumilia ni bora kuuza asikirimu nyumbani kwako
Usisahau pia unaanza kujitolea kwa siku kumi kwanza ndo uje ulipwe huko badae hahaaa yaani wahindi wale ni wanyonyaji mno imagine ellfu 6 kazi ya kufanya kuanzia saa 12 mpk 12 jioni dah!
 
Back
Top Bottom