Umekosea njia huu uzi ulitakiwa kupelekwa kwenye jukwaa linalohusiana na masuala ya elimu,,,, ila kama ni mount meru ya mwanza tutakuwa wote nami pia nimepangiwa huko na barua ya kujiunga walinitumia ila bado haijanifikia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.