Naomba jina La Wimbo Huuuu

Naomba jina La Wimbo Huuuu

mfupa2

Member
Joined
Apr 24, 2012
Posts
13
Reaction score
5
Ndugu wana JF naomba Msaada Wa Kupat Jina La Wimbo Huu! Wimbo Unasikika Kipande Kidogo tu Kwenye Tangazo La Eid Katika Radio Clouds ni Wimbo wenye mahadhi Ya South Africa kuna Sauti ya Mdada inasikika Akiimba Kwa Hisia Fulni alafu kuna Mapigo ya Kiafrica Kama vile Ngoma na Vionjo Vingine. Please kwa anayejua naomba anitajie jina la Msanii na Wimbo.

Thanks
 
Back
Top Bottom