Naomba jina la wimbo huu

Chigwiyemisi

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2011
Posts
531
Reaction score
230
Wadau kuna nyimbo naipenda, ni zilipendwa na inapigwa sana kwenye live band. Wanaiita AFRO. Sina hakika kama ndio jina au la. Naomba kujua imepigwa na nani na mwenye nayo naomba aniwekee nitashukuru sana. baadhi ya mistari ni kama vile "NIMERIDHIKA KUWA NA WEWE MAMAAAA.........UAMUZI NIMEKUACHIA WEWE.....AFRO MAMAAA HIYO MTOTO WA ....... LEO KWANGU KESHO KWAKO MAMAA UTANIKUMBUKA...KAA UKUMBUKE EE PENZI HUGEUKA EEEH!
 
::
Da! Afro umenikumbusha mbali saana.
Umeimbwa na Les Wanyika enzi za akina Tom Malanga na pacha wake.
Hebu ngoja niuimbe kidogo,,
Wakati wakongwe wanakuja kukuchambulia.
Ubeti wa 2
"Afro akili nyaga sagana,
Usiniweke pembeni Mamaa,
Ingawa wapo wengi wazuri mama,
Lakini nimekuchagua wewe ee!
Tabia zako sawa na sura yako,
Nimeridhika kuwa na wewe,
Mengine mengi sisemi Mamaa,
Uamuzi nakuachia wewe,
Mwisho nakuombea salama Afrooo!
Mpaka tutakapoonana
Oo!
=
 
Kitu ya Les Wanyika, inakwenda kwa jina "afro"
 

Haswaaa, kama unayo niwekee hapa mkuu!
 

Please enjoy the music..!
 

Attachments


Burudika...
 
Last edited by a moderator:
Nakili ni mara yangu ya kwanza kuusikia leo hapa jukwaani lakini nimeupenda sana!! Vijana wa zamani mli-enjoy sana siyo kama siku hizi nyimbo zimejaa matusi kibao na kuzicheza mpaka linakutoka jasho pipa zima!!
 
Nakili ni mara yangu ya kwanza kuusikia leo hapa jukwaani lakini nimeupenda sana!! Vijana wa zamani mli-enjoy sana siyo kama siku hizi nyimbo zimejaa matusi kibao na kuzicheza mpaka linakutoka jasho pipa zima!!

How old r u ITEGAMATWI?:high5::-*
 
Last edited by a moderator:
Mwenyewe nimeusikia leo
kweli kizazi cha 1990 tulikosa mengi
 
Miaka ya 80s nilikuwa kikid nilimuona Wa kawaida ila miaka ya 2000s ndio nikatambua utamu wake.. Na utamu wake hauishi Afro mama Mtoto Wa sagana... Utamu wake una match na ile ya Taarabu Subha kheri laazizi wajionaje hali yako...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…