W wa home JF-Expert Member Joined Mar 16, 2012 Posts 233 Reaction score 41 Mar 17, 2012 #1 kuna msemo kwamba hakili ni nywele! Sasa inakuaje ukimwona mwenye kipara inasemakana, ana akili nyingi inakuaje?.
kuna msemo kwamba hakili ni nywele! Sasa inakuaje ukimwona mwenye kipara inasemakana, ana akili nyingi inakuaje?.
Kabakabana JF-Expert Member Joined Aug 5, 2011 Posts 5,550 Reaction score 1,166 Mar 17, 2012 #2 Ngoja waje wakujibu wenye hakili
mchemsho JF-Expert Member Joined Jun 8, 2011 Posts 3,230 Reaction score 936 Mar 17, 2012 #3 Zipo ndani kwa ndani nyingi tu
mtzedi JF-Expert Member Joined Dec 13, 2011 Posts 6,312 Reaction score 6,636 Mar 17, 2012 #4 kama ni hivyo basi marasta wangekuwa na akili zaidi ya wengine
Nish JF-Expert Member Joined Jul 22, 2011 Posts 730 Reaction score 114 Mar 17, 2012 #5 hakili? network failed......
ZeMangi JF-Expert Member Joined Oct 21, 2011 Posts 436 Reaction score 33 Mar 17, 2012 #6 Kumbe ndo maana kuna mambumbumbu kama huyu..!
M Mashroud Member Joined Mar 6, 2012 Posts 71 Reaction score 5 Mar 17, 2012 #7 Option.....Delete...,..Select
Deejay nasmile JF-Expert Member Joined Nov 8, 2011 Posts 5,822 Reaction score 5,425 Mar 17, 2012 #8 Kabakabana said: Ngoja waje wakujibu wenye hakili Click to expand... hakili
Deejay nasmile JF-Expert Member Joined Nov 8, 2011 Posts 5,822 Reaction score 5,425 Mar 17, 2012 #9 wa home said: kuna msemo kwamba hakili ni nywele! Sasa inakuaje ukimwona mwenye kipara inasemakana, ana akili nyingi inakuaje?. Click to expand... huyo ni hacker lazima tu
wa home said: kuna msemo kwamba hakili ni nywele! Sasa inakuaje ukimwona mwenye kipara inasemakana, ana akili nyingi inakuaje?. Click to expand... huyo ni hacker lazima tu