Najua kwa hili wengine watasema ohoo mbona alishasema mke wake anamnyanyasa yeye na mtoto wake, na wengine watasema mbona alisema mpenzi wake alipata mpenzi kwenye mtandao akamsamehe na wako wote!

Hizo zilikuwa porojo tu jamani naomba msizikumbuke kabisa kwakuwa sasa niko serious jamani natafuta mwenza wa maisha kutoka humu jf yaani mshenga wangu ni jf, manake nimeona naweza kuzeeka bila kuvaa pete buure!

Zifuatazo ni sifa za mwenza nimtafutaye:-

1. Awe amekwishatosheka na maisha yaani si mtafutaji tena kwa maana nyingine awe ameshatembea (ku do) na wanaume si chini ya mia na kwamba hata kama ameshatumia hata mitandao yote poa tu.

2. Napendelea sana umbo namba 8, mweusi na usafiri wa nguvu, isipokuwa asiwe na nido.

3. Urefu wa angalau kunifikia begani kwani mimi nina futi sita na robo.

4. Kisomo kama anacho hewara kama hana nitamsomesha mwenyewe.

Mimi sina makuu niko kama ninavyonekana hapo kwenye avatar yangu yaani hiyo ni picha yangu kabisa. Pia niko tayari kuvaa pete ya kutoka rohoni kabisa.

Nb: Walevi, wavutaji na wabwiaji wasijihangaishe kuomba tafadhari.
Hizo zilikuwa porojo tu jamani naomba msizikumbuke kabisa kwakuwa sasa niko serious jamani natafuta mwenza wa maisha kutoka humu jf yaani mshenga wangu ni jf, manake nimeona naweza kuzeeka bila kuvaa pete buure!
geuka basi kwa mbele wadau tukuone vyema
Aaaaah Mulama,good luck,na kisukari anakupa baraka zote.Inshallah na ramadhani hii nakuombea dua utampata tu
1. Awe amekwishatosheka na maisha yaani si mtafutaji tena kwa maana nyingine awe ameshatembea (ku do) na wanaume si chini ya mia na kwamba hata kama ameshatumia hata mitandao yote poa tu.
Preta siku hile Tarangile hukuniona vizuri kweli jamani? au kwakuwa nilikukuta umekwishatia ulabu??, ngoja nikukumbushe ulikuwa umevaa suruali nyeusi na kitop cha shati la draft la rangi rangi!geuka basi kwa mbele wadau tukuone vyema
haya hayana nafasi sana katika hatua uliyopo na yangelikuwa na maana baada hata ya kuwekana kikao..........na nina wasiwasi hii mitandao umeipa uzito mno.......what is going on with your poor soul?????????????????
mi nahisi hata hii pia ni porojo! Your not serious...
Mwanamke aliye do na wanaume 100! Khaaa!
Hii waitu, mbona unanihukumu wakati umeniomba urafiki jamani, nimeshaku add kama ulivyoomba!. Pamoja na hayo hapa nimejaribu kupanua wigo kwa waombaji ili mtu asijinyanyapae hakuna sehemu nilipokazia mitandao kama unavyotaka kufanya wewe!, mbona anagalizo la walevi na wabwiaji huliongelei??! Usiniharibie tafadhari niko hapa kwa kazi hiyo niliyoomba ( Poor soul????!!!!)
Kwa vyovyote wewe unatoka Kiziba! manake ulivyo mtaalamu wa majungu! sitashangaa kama wewe sio mulangila!!!
kesho akikuomba msamaha kuwa zote hizi zilikuwa ni porojo atakurudishia baraka ulizomtupia?
Preta siku hile Tarangile hukuniona vizuri kweli jamani? au kwakuwa nilikukuta umekwishatia ulabu??, ngoja nikukumbushe ulikuwa umevaa suruali nyeusi na kitop cha shati la draft la rangi rangi!
Preta siku hile Tarangile hukuniona vizuri kweli jamani? au kwakuwa nilikukuta umekwishatia ulabu??, ngoja nikukumbushe ulikuwa umevaa suruali nyeusi na kitop cha shati la draft la rangi rangi!
duh, yani awe kapigwa na wanaume mia moja! Tena mitandao yote! Hujionei huruma mkuu! Ur nat serious kaka then kumbuka hapa si mahali pa kuleta utani.