Obadiahmayunga
Senior Member
- Sep 19, 2014
- 163
- 109
nakupa experience yangu dogo, wanawake wa kizungu hawapendi kabisa kitu usaliti/cheatings hapa kuwa makini sana, pia hawapendi kupigwa, mnaweza gombana/pishana ila usithubutu kumpiga, hawana uvumilivu hapo, ila uzuri wao ni waaminifu, wavumilivu na pia wakikupenda mwafrika wapo tayari kuishi nawe kwa hali yoyote
mimi ni mkatoliki tatizo ananipenda saana na ananisaidia saana kutokana na roho yake ndio inasababisha nikubali kumuoa ilakiukwelinawapenda saana waafrika afu sijui kwanini ukiwa na mwanamke mzungu wanawake wanakuwa na shobo hatariiii mpaka ilamimi siwezikabisa kumcheatwazungu ndugu yangu, unaweza kuwaowa tu kama wewe dini yako inaruhusu talaka na remarry. ila kama we ni mkatoliki na mlokole, inabidi uombe Mungu ifike miaka walau 20 bila talaka, na utaishi kwa machale sana kwa kuogopa kumghadhibisha akaona anaishi na specie inayodharaulika duniani (mwafrica) hivyo akuache ili apumzishe akili. wepesi sana kupeana talaka. binafsi niko anti-divorce sana katika maisha yangu kwasababu huwa naamini ni dhambi.
hhahahhahhhahhahahahahahahahhahahhahahhahhaah you have made my dayMlete kwangu nikufundishie
sasa kama roho yako haimpendi, kwanini unataka kung'ang'aniza? anakudai?mimi ni mkatoliki tatizo ananipenda saana na ananisaidia saana kutokana na roho yake ndio inasababisha nikubali kumuoa ilakiukwelinawapenda saana waafrika afu sijui kwanini ukiwa na mwanamke mzungu wanawake wanakuwa na shobo hatariiii mpaka ilamimi siwezikabisa kumcheat
Wanawake wetu wa Kiafrika wanapenda cheating na kupigwa eeh?nakupa experience yangu dogo, wanawake wa kizungu hawapendi kabisa kitu usaliti/cheatings hapa kuwa makini sana, pia hawapendi kupigwa, mnaweza gombana/pishana ila usithubutu kumpiga, hawana uvumilivu hapo, ila uzuri wao ni waaminifu, wavumilivu na pia wakikupenda mwafrika wapo tayari kuishi nawe kwa hali yoyote
hhahahahhhhahhahhahahhahhhaahha anavyonipenda sijawahi pendwa hivyo pia she is independent womansasa kama roho yako haimpendi, kwanini unataka kung'ang'aniza? anakudai?
sasa kama roho yako haimpendi, kwanini unataka kung'ang'aniza? anakudai?
hank you very much1.Lazima umpende rohoni siyo juu juu tu.2 uwe mwepesi kusema I am sorry unapokosea3. Kila unapotoka ni vizuri ukamtaarifu mapema ili kujua unaenda wapi 3. Mwambie unampenda mara kwa mara hata kama mmefunga ndoa miaka kadhaa 4. Mapenzi ya kushikana kwa sana muhogo wa mwisho kabisa akiwa tayari 5. Siku zake za kuzaliwa lazima uandae kabla yeye hajakukumbusha 6. Watoto ni majaaliwa ya mwenyezi mungu mkiwa na bahati mwisho wawili wengine bahati mbaya 7. Mkeo na familia kwanza wengine baadaye 8. Kubali mawazo yake ya kwako baadaye 9. Mengine optional au si muhimu sana. Good luck !
Sent using Jamii Forums mobile app