Naomba elimu kuhusu Credit card

Naomba elimu kuhusu Credit card

mtanzania10

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2014
Posts
271
Reaction score
81
Naomba mnisaidie kujua maana ya credit card, jinsi ya kuipata na matumizi yake, vile vile kuna hichi kitu CVV# sijaelewa maana yake na mwisho naomba kujuzwa zip code ya Tanzania.
 
naomba mnisaidie kujua maana ya credit card,jinsi ya kuipata na matumizi yake,vile vile kuna hichi kitu CVV# sijaelewa maana yake na mwisho naopa kujuzea zip code ya tanzania

Mtanzania mbona ni usiku sana umekuja na haya maswali kuna nini huko?

  • Credit card = ni kadi za kununulia vitu madukani kulipia nauli za ndege mabasi Treni au kutolea fedha katika ATM km kadi za Umoja Switc, NMB CRDB na nyinginezo VISA Master card nk
  • CCV Number =Card Verification Value Ni namba za utambulisho zinazowekwa kwenye Card yako ya kutolea fedha (ATM)

  • ukiambiwa Zip code = ni Namba tangulizi wakati wa mawasiliano nje ya Nchi Tanzania ni lazima uanze na +255 halafu unaweka namba za huyo jamaa yako au tena unaweza kukuta jyna code nyingne ndipo namba zake mfano 0715xxxxxx km yupo TZ ni +255715xxxxxx
 
Images for cvv#

samahani mkuu though ni nje ya
thread hii nna simu yangu inaitwa
t..mobile slidekick kama waweza
naomba nisaidie jinsi ya kuipatia
configuration za net,
wasalaam mkuu
 
Mtanzania mbona ni usiku sana umekuja na haya maswali kuna nini huko?

  • Credit card = ni kadi za kununulia vitu madukani kulipia nauli za ndege mabasi Treni au kutolea fedha katika ATM km kadi za Umoja Switc, NMB CRDB na nyinginezo VISA Master card nk
  • CCV Number =Card Verification Value Ni namba za utambulisho zinazowekwa kwenye Card yako ya kutolea fedha (ATM)

  • ukiambiwa Zip code = ni Namba tangulizi wakati wa mawasiliano nje ya Nchi Tanzania ni lazima uanze na +255 halafu unaweka namba za huyo jamaa yako au tena unaweza kukuta jyna code nyingne ndipo namba zake mfano 0715xxxxxx km yupo TZ ni +255715xxxxxx

ZIP code ya TZ sio +255 na hamna Zip code ya Tanzania kama Tanzania bali kila mkoa una Zip code yake...Na kila wilaya Code yake

E.gDSM zip code ukiweka 11000 umemaliza kazi na kama unakaa Ilala,kinondoni e.t.c Nazo zina ZIP codes zake...

Ila kwa Tanzania ZIP codes ni useless hizi zina maana kubwa nchi za wenzetu...Hivo hata ukikosea haina shida lkn hiyo ZIP code ndo kama adress yako ya mtaavukikosea imekula kwako
 
Mkuu ungefafanua zaidi ili hata muuliza swali aelewe
mm nimekubaliana na wewe kuwa Zip Code ni tofauti kabisa na Country Code
Bado namwambia mtanzania10 +255 ni namba tangulizi za kapata mawasiliano kwa njia ya simu na hata mitandao
inapotaka kujiunga na Facebook, Yahoo,Perfect Internrt etc ni lazima wanakuambia ujaze namba yako ya simu kwa Nchi yetu tunaanza na hiyo niliyoitaja,
Mpaka kwa sasa najua mioa ina code area zao hasa kupitia Fax na Land line sijui km kuna mabadiliko naona watu wa TTCL watatueleza lakini sijasikia Dar wanatumia 11000
msaada zaidi utujuze kuliko ulivyoweka nusu
[h=1]Tanzania Country Codes[/h]
CountryCode.org is your complete guide to make a call from anywhere in the world, to anywhere in the world. This page details Tanzania phone code.
The Tanzania country code 255 will allow you to call Tanzania from another country. Tanzania telephone code 255 is dialed after the IDD. Tanzania international dialing 255 is followed by an area code.
The Tanzania area code table below shows the various city codes for Tanzania. Tanzania country codes are followed by these area codes. With the complete Tanzania dialing code, you can make your international call.

[TH="width: 16%, colspan: 2"]Tanzania City Codes[/TH]

[TD="class: city, width: 70%, align: left"]Arusha[/TD]
[TD="align: left"] +255 27 [/TD]

[TD="class: city, width: 70%, align: left"]Dar Es Salaam[/TD]
[TD="align: left"] +255 22 [/TD]

[TD="class: city, width: 70%, align: left"]Dodoma[/TD]
[TD="align: left"] +255 26 [/TD]

[TD="class: city, width: 70%, align: left"]Iringa[/TD]
[TD="align: left"] +255 26 [/TD]

[TD="class: city, width: 70%, align: left"]Kagera[/TD]
[TD="align: left"] +255 28 [/TD]

[TD="class: city, width: 70%, align: left"]Kigoma[/TD]
[TD="align: left"] +255 28 [/TD]

[TD="class: city, width: 70%, align: left"]Kilimanjao[/TD]
[TD="align: left"] +255 27 [/TD]

[TD="class: city, width: 70%, align: left"]Lindi[/TD]
[TD="align: left"] +255 23
[/TD]

[TD="class: city, width: 70%, align: left"]Mara[/TD]
[TD="align: left"] +255 28 [/TD]

[TD="class: city, width: 70%, align: left"]Mbeya

[/TD]

Country Codes, Phone Codes, Dialing Codes, Telephone Codes, ISO Country Codes
/tanzania
Area Code Reverse Lookup for country code 255
 
ZIP code kwa Tanzania hazijawa na maana hata kidogo maana hata watu wa posta na shipping couriers nyingi ukishamwambia
Njunwa wamavoko
Muhimbili Hospital
DSM
Tanzania
Lazima hataelewa lkn nchi za mbele zip code ni muhimu sana na mm nina Adress ya US ambayo ukikosea kuweka hiyo zip code imekula kwako

Kwa maelezo zaidi soma hii link ya TCRA uone hiyo kitu na juu kabisa ipo Dar ambayo ni 11000 na visehemu vyake vitafata hiyo code kuu

http://www.tcra.go.tz/index.php/publication-and-statistics/postcode-list
 
Nimependa huu uzi naomba mnijuze anayefahamu hichi kitu.

Mara nyingi nimekuwa nikitaka kufanya online transaction ya vitu kadhaa lakini naishia hapo kwenye area code na pin ya kadi yangu. Huwa nawaza nikiweka hiyo pini kuna uwezekano wa kulambwa kahera kote.

Anayeelewa vzuri naomba anijulishe. ATM kadi yangu ilishasajiliwa kufanya international transaction online tayari.
 
Tafuta account special kwa ajili ya hilo maana kweli sio secure kutumia account yako ya mshahara au kuweka akiba ya baadae eti unafanyia malipo online utakua unaji risk mwenyewe...

Isitoshe ipo PayPal ndo secure way...nenda katika jukwaa hili kuna Sticky thread kuhusu manunuzi online
 
Credit card usiiweke wazi mtu akiziona namba za kadi yako anatoa mpunga itakuwa safe ukiiunga na paypal
 
Tafuta account special kwa ajili ya hilo maana kweli sio secure kutumia account yako ya mshahara au kuweka akiba ya baadae eti unafanyia malipo online utakua unaji risk mwenyewe...

Isitoshe ipo PayPal ndo secure way...nenda katika jukwaa hili kuna Sticky thread kuhusu manunuzi online

Asante sana mkuu
 
Mkuu ungefafanua zaidi ili hata muuliza swali aelewe
mm nimekubaliana na wewe kuwa Zip Code ni tofauti kabisa na Country Code
Bado namwambia mtanzania10 +255 ni namba tangulizi za kapata mawasiliano kwa njia ya simu na hata mitandao
inapotaka kujiunga na Facebook, Yahoo,Perfect Internrt etc ni lazima wanakuambia ujaze namba yako ya simu kwa Nchi yetu tunaanza na hiyo niliyoitaja,
Mpaka kwa sasa najua mioa ina code area zao hasa kupitia Fax na Land line sijui km kuna mabadiliko naona watu wa TTCL watatueleza lakini sijasikia Dar wanatumia 11000
msaada zaidi utujuze kuliko ulivyoweka nusu
[h=1]Tanzania Country Codes[/h]
CountryCode.org is your complete guide to make a call from anywhere in the world, to anywhere in the world. This page details Tanzania phone code.
The Tanzania country code 255 will allow you to call Tanzania from another country. Tanzania telephone code 255 is dialed after the IDD. Tanzania international dialing 255 is followed by an area code.
The Tanzania area code table below shows the various city codes for Tanzania. Tanzania country codes are followed by these area codes. With the complete Tanzania dialing code, you can make your international call.

[TH="width: 16%, colspan: 2"]Tanzania City Codes[/TH]

[TD="class: city, width: 70%, align: left"]Arusha[/TD]
[TD="align: left"] +255 27 [/TD]

[TD="class: city, width: 70%, align: left"]Dar Es Salaam[/TD]
[TD="align: left"] +255 22 [/TD]

[TD="class: city, width: 70%, align: left"]Dodoma[/TD]
[TD="align: left"] +255 26 [/TD]

[TD="class: city, width: 70%, align: left"]Iringa[/TD]
[TD="align: left"] +255 26 [/TD]

[TD="class: city, width: 70%, align: left"]Kagera[/TD]
[TD="align: left"] +255 28 [/TD]

[TD="class: city, width: 70%, align: left"]Kigoma[/TD]
[TD="align: left"] +255 28 [/TD]

[TD="class: city, width: 70%, align: left"]Kilimanjao[/TD]
[TD="align: left"] +255 27 [/TD]

[TD="class: city, width: 70%, align: left"]Lindi[/TD]
[TD="align: left"] +255 23
[/TD]

[TD="class: city, width: 70%, align: left"]Mara[/TD]
[TD="align: left"] +255 28 [/TD]

[TD="class: city, width: 70%, align: left"]Mbeya

[/TD]

Country Codes, Phone Codes, Dialing Codes, Telephone Codes, ISO Country Codes
/tanzania
Area Code Reverse Lookup for country code 255

Zip code inahusisha address ya mahali husika na telelphone code ya utambulisho kwa nchi husika e.g tz tuna +255 .Tusichanganye somo hapa.
 
anayechanganya ni nani ? Mleta Mada ungeelewa anachotaka na kumsaidia
hiyo mabo ya +255
Area Code
Country code Zip code tumeshamaliza http://countrycode.org/
Mleta Mada ana maswali ma3 hayajajibiwa MNAMCHANGANYA TU
yatoleeni ufafanuzi kwanza
 
Back
Top Bottom