MoseeYM
Senior Member
- Jul 19, 2021
- 134
- 192
Naomba kuwakumbusha wale mnaoanza au mnaotaka kujenga.
Mtambue ya kuwa katika ujenzi 60%-70% ya gharama utakayotumia kwenye ujenzi,Mara nyingi huwa ni gharama ya material. Kwa hiyo usijisumbue kutumia 'mafundi maiko' wahuni ,wakujengee kwa kisingizio cha kusave gharama za wataalamu,Hiyo 30%-40% unayoipigania inaweza kuigharimu 60%-70%.
Ukweli mchungu ni kwamba,nyumba nyingi za makazi zina changamoto ya 'ubora'.Unakuta mtu alikwepa kutumia wataalamu kukwepa 1M.Baadae 'as a consequences' kila mwaka anafanya marekebisho yenye gharama kubwa.
Kitaalamu 'life span' ya majengo tunaexpect iwe 50years or more with slightly maintenance.Lakini hizi za kwetu 10yrs nyumba unakuta imechoka tayari.Au unakuta gharama za marekebisho alizotumia mtu,angeweza kujenga hata nyumba nyingine.
NI MUHIMU KUZINGATIA ubora na ushauri wa wataalamu unapoanza ujenzi.Suala la gharama sio la kuhofia kwa sababu bado Tanzania tunao wataalamu wengi wanaoweza kukushauri namna bora ya ujenzi kulingana na kiasi Ulichonacho( Mfano kuna watu wanaitwa Quantity surveyors ,kazi yao ni kufanya ukadiriaji wa gharama za ujenzi,Wahandisi ujenzi nao wapo,ambao miongoni mwa kazi zao kubwa ni kusimamia ubora wa materials na namna ya ujenzi,Pia hufanya design.Wapo Ma -Architects kazi yao ni kufanya usanifu wa majengo.
SIJAJUA WABONGO TUNAKWAMA WAPI? Ila taratibu tutazoea.