Amesoma Bachelor Community and Economic Development (CED) Chuo Cha Ushirika Moshi.Na CV ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaaam.
Soma uzi kwanza usikurupuke kama mtu mwenye tumbo la kuharaNimeshangaa hakuna Jina la Mbowe
Dr. Husen Mwinyi ni Daktari wa Binadamu
Nimeshangaa hakuna Jina la Mbowe
Dr. Husen Mwinyi ni Daktari wa Binadamu
Ila wana masters...1.Waziri wa Ulinzi na JKT.
2.Waziri wa habari,utamaduni na michezo.
3.Waziri wa Ardhi,Nyumba na makazi.
Kama nitathibitishiwa kwamba kuna aliyefikia kidato cha sita Nazi ya mawaziri hao, leo hii nitajitoa JF moja kwa moja.
ngoja niifuate muccobs Moshi kesho nakuja nayo naiweka hapaNa CV ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaaam.
Hana form 6, hata form four yenyewe credit hakupata.
Lkn co waziri ni RAIA kma ww umeambiwa to a CV za mawazili wakoHana form 6, hata form four yenyewe credit hakupata.