Habari wana jf!
kuna Mtu anaitwa John yeye ni mjerumani anayenunua mbegu za mlonge,maua na unga unaotokana na majani ya mlonge.
Taarifa za huyu mtu nilizipata ktk kipindi cha redio East Africa siku ya alhamisi. sikuweza kupata contact za huyu mtu c'se nilikuta kipindi kinaisha.Muongozaji wa hayo mahojiano alikuwa Zembwela. ninachohitaji ni namba ya John au Zembwela kwa sababu nina shamba kubwa kisarawe nilipatanda mlonge kama fensi. kwahiyo nina mlonge mwingi sana.kama unayo mawasiliano ya hawa watu nisaidieni.namba yangu ni 0716 844978