Kichwa kikubw Member Joined Jan 26, 2019 Posts 90 Reaction score 115 Jul 2, 2023 #1 Habari za wakati huu wa JF, Natafuta kazi jamani mwenye CONNECTION please elimu yangu form four na Six
Habari za wakati huu wa JF, Natafuta kazi jamani mwenye CONNECTION please elimu yangu form four na Six
Nandorobo Member Joined Feb 20, 2023 Posts 45 Reaction score 71 Jul 3, 2023 #2 Unaweza kung'oa visiki?
Shazili mnali JF-Expert Member Joined Mar 25, 2023 Posts 359 Reaction score 569 Jul 3, 2023 #3 Unaweza kukata mkaa?
Masai wa Town JF-Expert Member Joined Apr 9, 2017 Posts 6,542 Reaction score 23,856 Jul 3, 2023 #4 W Shazili mnali said: Unaweza kukata mkaa? Click to expand... 🖕🏿
KatetiMQ JF-Expert Member Joined Sep 25, 2022 Posts 294 Reaction score 605 Jul 3, 2023 #5 Shazili mnali said: Unaweza kukata mkaa? Click to expand... Hii sio sawa
Kichwa kikubw Member Joined Jan 26, 2019 Posts 90 Reaction score 115 Jul 3, 2023 Thread starter #6 Nandorobo said: Unaweza kung'oa visiki? Click to expand... Ndiyo mkuu naweza upo wap et
Jamhury egno New Member Joined Jul 7, 2023 Posts 2 Reaction score 0 Jul 7, 2023 #7 Nitafute tafadhali
Kichwa kikubw Member Joined Jan 26, 2019 Posts 90 Reaction score 115 Jul 7, 2023 Thread starter #8 Jamhury egno said: Nitafute tafadhali Click to expand... Wewe upo wp mkuu 0623217775