Naomba code za kufanya namba isipatikane hata ukiwa umewasha simu

Naomba code za kufanya namba isipatikane hata ukiwa umewasha simu

Kuna ile code unaweka na NAMBA ya simu alafu ukipigiwa inaenda kwa mtu mwingine au unaambiwa NAMBA haipo. Anyejua hatupatie
 
Masada nilitumia hii code *35*0000# kwa dharura kuifunga simu yangu lakini baada ya kuifungua imefunguka upende mmoja tu wa calls upende wa msg umegoma na inaniletea ujumbe huu
Call barring
All incoming calls for all basic services
Connection problem or invalid MMI code
 
Ulifanikiwa??
 
Amna haja ya code, ingia call settings tafuta forwading weka always andika namba ambayo haipo au namba Yako iliyopotea

Akipiga simu itaita kwenye namba ambayo haipo, au Yako ambayo haupatikani

Ila message kama kawaida
 
Back
Top Bottom