Naomba anayefahamu wapi wanatengeneza vifungashio anijulishe

Naomba anayefahamu wapi wanatengeneza vifungashio anijulishe

jaxonjohnson

Member
Joined
Mar 20, 2018
Posts
25
Reaction score
8
Jamani naomba anaefahamu wapi wanatengeneza vifungashio kama hivi anielekeze,namaanisha kiwandani kwa anaefahamu please!
Maana kununua kwa rejareja kariakoo inaumiza kwa kweli,naomba kuwasilisha
IMG_20180723_233436.jpeg
 
JF imepoteza maana sikuhizi !siamini baadhi ya majibu niliyoyaona hapa!
 
Kama hujui si bora usicomment kitu?mbona watu mnacomment kama hamna ufahamu vile
 
Ukishapata vifungashio vya bei rahisi, Karibu kwa huduma ya ku PRINT labels(sticker) kwa bei rahisi ili kuongeza faida yako.
 
Kuna viwanda hii barabara ya Mbezi Beach. Bagamoyo road. Kama sikosei ni Makonde. Ukiuliza utaelekezwa. Lakini kiwandani mzigo kuanzia laki 6 nafikiri
 
Jamani Kuna mtu mwenye contacts za Hawa Nempak maana nawatafuta sana.
 
Back
Top Bottom