Naomba anayefahamu maisha ya Rwanda anipe mwongozo

Comment hii imekupa ukweli kwa kiasi kikubwa sana kwa nchi ya Rwanda. Namiaka kama mitano sijaenda ila huu ndio uhalisia wenyewe.
 
ilishanikuta hii ikabidi nikeshe bila kupenda
 
Mkuu kweli we mndegereko.
Havintishi
ndio majina ya rfj
 
Ni kugumu hasa kama unatoka tanzania kwa kuwa fedha yao ni kubwa ukilinganisha na fedha ya Tanzania faranga kuwa tshs utachukia nenda Uganda au zambia

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda Aende uganda
ila Zambia
, Maisha yapo juu Balaa pesa yao KWACHA imekuwa na thamani maradufu kulingana na pesa yetu ya madafu.
Wachana na maneno ya mataani kuwa pesa ya Zambia aina thamani.
Naongea kwa kujiamini kwasababu nimeishi zambia kwenye miji ya Lusaka, livingstone na Ndola.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu
Sina mengi zaidi Naomba anae faham maisha ya rwanda anipe mwongozo
(1) Kibiashara
(2)Kilimo No


Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi pia napapenda sana Rw nataman niishi nchi hii now namalzia mingo zangu mwishon mwa mwaka huu naplan za kwend kuresearch Kigal for even only 3weeks or + kikibw nitaangalia market 4 business
kingne naskia hawadhamin sana mambo za vyeti ilimrad 2 uwe na ujuzi+utaalam wa kitu mbal na biashar nina Journalism level nzur tu nawez pata ata media ya kupigisha content za kiswahili?...
 
~ na hii corona watakuruhusu uingie?
Bora usubiri hali ya corona itulie kwanza..
 
Mkuu kwahyo unamanisha Zambia hapafai?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…