naogopa.....

Jestina

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
4,831
1,707
wanabodi,

mie nililowea kny maboksi kwa kipindi cha miaka kumi,baada ya kuona hayalipi mpaka nipate proffessional job nimeamua kurudi shule.....ila nahisi mwenzenu watanikamata,naogopa kweli kupata sup.....nifanyeje?kama umesoma acconting and finance please acha jina lako nitakutafuta mambo yakiwa magumu unisaidie shule...........................................

na pia vitabu gani ninunue???najua watanitumia list ya sylabus na vitabu baadae ila kama unajua...please vilist hapa nivitafute....nataka kuanza kuwa msongo mapemaaa....:glasses-nerdy::A S shade:
 
kwan ulaya napo huwa wanakamata madent?
.
graphics-smilies-620621.gif
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom