Naogopa majibu yasio ridhisha...

Kama namba yake umeipata kwa mtu basi umebugi ilitakiwa akupe yeye mwenyewe ndo kumuanza inakua mtelezo
 
dah acha utani bwana! wee una umri gani? maana nahisi bado mdogo na sijakuelewa vizuri unamuogopa au unampenda?? tokea lini ulisikia kitu unakipenda ukakiogopa?? nakushauri achana nae maana unamuogopa na akijuwa tu umekwisha hutaweza kujitetea badala ya mapenzi utakuwa mtumwa tafuta ambae hutamuogapa zingatia majuto ni mjukuu.
 
Mh...Jembe, anza na sms za utundu, wish gud night kwa sana(daily kabla hajalala), asubuhi mjulie hali even kwa sms muulize ameamkaje? mkishazoweana kidogo omba kukutane nae sehemu kwa ajili hata ya kinwaji then unafunguka!

hapo kongo umenena,nitaanza hivyo then majibu nitakutumbukizia.
 
Bac mi huwa naenjoy kweli nkitongozwa na mtu wa aina yako lol........ kaza moyo kaka, jipange.

nambe hayo ndo nayaogopa sasa,ila hata wewe ukijichanganya ukanitea sikio nakuchimbia kaburi,sema ndo hivyo sijiamini amini vile.ila poa majibu next wk nitatumbukiza hapa utanijua na mm mkali
 
kwanza ni udhaifu mkubwa kutumia phone kumtongoza kwa mwanamke mwerevu atakupunguzia marks,do it face to face.pili kutongoza hakuna formula it depends on circumstances,utakavyomkuta ndo utaanza hivyohivyo

nimeupenda ushauri wako,kweli ni dem dicplin ndo maana sitaki kukurupuka,yani sitaki kumkosa.
 
Ikiwa ndio mara yako ya kwanza ntakuelewa,kwani unataka kula halafu uende zako au ndio nakuoa kabisa Kama mwenzio hajawahi?

yani kama atanielewa naoa kabisa bila kuja nitakacho kutana nacho ndani ya gem.hiyo itakua siri yangu.
 
wasiliana na mzeyaa ncha kali wa clouds fm yule huwa anamisaidia watu kama nyny madomo kokoto/zege

Unaweza kumsikiliza j4 kuanzia sa4 na 15 hv.
 
Jitahidi kumzoea kwanza, mfanye rafiki yako akishakolea ndo umwambie ya moyoni..
 
dah acha utani bwana! wee una umri gani? maana nahisi bado mdogo na sijakuelewa vizuri unamuogopa au unampenda?? tokea lini ulisikia kitu unakipenda ukakiogopa?? nakushauri achana nae maana unamuogopa na akijuwa tu umekwisha hutaweza kujitetea badala ya mapenzi utakuwa mtumwa tafuta ambae hutamuogapa zingatia majuto ni mjukuu.

sasa hapo unanichanganya luku,mm ni kijana tayar namzid kidogo umri yeye anakama 27 kama sio 26.vle vle simuogopi ila nimempenda kweli had hofu ikaniingia,akijichanganya amekwisha kwani sina historia ya pelekwa pelekwa na mamanzi hawa,nauzoefu nao kimtindo.hebu niwekee mistari hapa ya kuanzia akichomoa basi kuanza upya sio ujinga.
 
Wadau naombeni maushauri,najua binadamu tunatofautia uwezo wa kifikra,akili,ujasiri na mambo mengi.mi nampenda manzi mmoja hivi ni dada wa miaka kama 27 ofice zetu zinatizamana,huyu dada nimefanya mpango wa kupata phon namber nimefanikiwa,sasa kuanza inshu washkaji,si unajua tena kitu umekipenda kweli?inafikia wakati nikimuona namuogopa yani nastuka kinoma.

Naombeni maujanja bila kudai ni wakike au wakiume.

Am sure unampango kazi wa kukamilisha kujipa unachopenda,am sure ukoserious enough ku-make things happen as your will,si unajua izi vi2 haziko na formula its like weather ikikua baridi au joto yo know what to do right,so kama ni hivyo then sure of youself think,work&expect only the best.Goodluck
 
yani kama atanielewa naoa kabisa bila kuja nitakacho kutana nacho ndani ya gem.hiyo itakua siri yangu.
Kakangu pole pole unaweza ukakuta mambo siyo kabisaaaaa kwenye uwanja au ndio yale wanao sema kama hajui ntamfunza mwenyewe...
 
dah, siku hizi kutongoza tu mpaka watu waombe tuition? ukiachiwa majukumu ya kuwa kichwa cha nyumba si ndiyo utakodi mtu akusaidie?

my bro cartura umeua sana............mmh! but real kama dogo ni mwoga inamaana majukumu mengine kama kumvua chupi ataogopa lazima.ajichanganye manake waweza kukuta binti naye ana mfeel il anaogopa kumuingia tu. ajaribu kukataliwa hapa ndo mwanzo wa kuwa competent mtongozaji.
 
Last edited by a moderator:
Dah mbona ni rahisi sana. Hawa viumbe wepesiiiiii. Sikia ngoja nikupe somo na mistari simple ya kuanzia. Kumbuka kikubwa ni kumuweka karibu mwanzoni. Lengo ni kumfanya akuzoee na awe free kwako. Anatakiwa apige story na ww kama vile anaongea na dada yake. Sio kazi kabisa bro. Ni pm nkwambie mimi ningemuanzaje. Alafu unavyokuwa na yeye onyesha sana kumjali. Anatakiwa ahisi unampenda hata kabla hujamtamkia. Ukikurupuka ukaenda tongoza moja kwa moja hakupi. Pia jiangalie kwenye kioo kitu gani ww mwenyewe kinakuvutia. Mfano kama una smile nzuri weka, kama una ki innocent face display. Ka una style ya nywele ukinyoa unapendeza nenda salon leo. Jaribu kujiamini tu. Hakuna demu mgumu duniani.
 
Back
Top Bottom