Naogopa majibu yasio ridhisha... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naogopa majibu yasio ridhisha...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by nanchi, Jul 21, 2012.

 1. nanchi

  nanchi Member

  #1
  Jul 21, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Wadau naombeni maushauri,najua binadamu tunatofautia uwezo wa kifikra,akili,ujasiri na mambo mengi.mi nampenda manzi mmoja hivi ni dada wa miaka kama 27 ofice zetu zinatizamana,huyu dada nimefanya mpango wa kupata phon namber nimefanikiwa,sasa kuanza inshu washkaji,si unajua tena kitu umekipenda kweli?inafikia wakati nikimuona namuogopa yani nastuka kinoma.

  Naombeni maujanja bila kudai ni wakike au wakiume.
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  andika barua lol
   
 3. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #3
  Jul 21, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 540
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Tatizo ni hofu ya kukataliwa ndo imekuzidi. Jipendekeze, mpigie simu na kama kawaida, jipendekeze tu. Akikukataa, siyo mwisho wa dunia.
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Jul 21, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  mmmmh, raha ya mtongozo live, anyway hata recorded, but . . .
   
 5. w

  wa home JF-Expert Member

  #5
  Jul 21, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 232
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  weka numb hapa nikusahdie kumjaribu kama ni mgumu au msimple
   
 6. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #6
  Jul 21, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  dah, siku hizi kutongoza tu mpaka watu waombe tuition? ukiachiwa majukumu ya kuwa kichwa cha nyumba si ndiyo utakodi mtu akusaidie?
   
 7. N

  Neylu JF-Expert Member

  #7
  Jul 21, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 2,650
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Dah! Kumbe kuna wanaume wa namna hii.. Acha uoga kaka, mwanze taratibu taratibu halafu unajua sisi wadada kama tumezimika wala hatujifichagi.. Ukiona anarespond fresh ujue umeshafanikiwa.! PIGA MOYO KONDE, MWANAUME HAOGOPI KIBUTI BANA..!
   
 8. nanchi

  nanchi Member

  #8
  Jul 21, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  we kama mjanja weka mistari yako ya vina hapa,na sio kuponda,uwenda na wewe ni mweupe.
   
 9. CORAL

  CORAL JF-Expert Member

  #9
  Jul 21, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,477
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Zingatia ushauri huu.
   
 10. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #10
  Jul 21, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,325
  Likes Received: 2,320
  Trophy Points: 280
  Ukifika karibu yake unamwambia..nakupenda halafu unakimbia
   
 11. B

  Bi nyakomba JF-Expert Member

  #11
  Jul 21, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 387
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Hihihihihihi koh koh koh
   
 12. kongobelo

  kongobelo Senior Member

  #12
  Jul 21, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 199
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Mh...Jembe, anza na sms za utundu, wish gud night kwa sana(daily kabla hajalala), asubuhi mjulie hali even kwa sms muulize ameamkaje? mkishazoweana kidogo omba kukutane nae sehemu kwa ajili hata ya kinwaji then unafunguka!
   
 13. Bufa

  Bufa JF-Expert Member

  #13
  Jul 21, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 4,190
  Likes Received: 3,427
  Trophy Points: 280
  Muhonge #moneytalkssoloud
   
 14. m

  mtanzania1989 JF-Expert Member

  #14
  Jul 21, 2012
  Joined: May 20, 2010
  Messages: 2,146
  Likes Received: 1,712
  Trophy Points: 280
  Hakuna formula ya kutongoza mkuu , just be yourself , kama kweli umempenda na ana hisia na wewe , ataingia king tu...
   
 15. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #15
  Jul 21, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Bac mi huwa naenjoy kweli nkitongozwa na mtu wa aina yako lol........ kaza moyo kaka, jipange.
   
 16. Munambefu

  Munambefu JF-Expert Member

  #16
  Jul 21, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 899
  Likes Received: 249
  Trophy Points: 60
  kwanza ni udhaifu mkubwa kutumia phone kumtongoza kwa mwanamke mwerevu atakupunguzia marks,do it face to face.pili kutongoza hakuna formula it depends on circumstances,utakavyomkuta ndo utaanza hivyohivyo
   
 17. promiseme

  promiseme JF-Expert Member

  #17
  Jul 21, 2012
  Joined: Mar 15, 2010
  Messages: 2,715
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 135
  Ikiwa ndio mara yako ya kwanza ntakuelewa,kwani unataka kula halafu uende zako au ndio nakuoa kabisa Kama mwenzio hajawahi?
   
 18. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #18
  Jul 21, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Muulize kama anapenda mapera
   
 19. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #19
  Jul 21, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,748
  Likes Received: 12,842
  Trophy Points: 280
  Mpigie simu alaf ujieleze hawezi kukutukana maana hajui ana ongea na nani!

  Usije ukategemea majibu ya kuridhisha siku ya kwanza, hata kutukwanwa ina wezekana lakini unatakiwa upate chance ya kumueleza kwanza na utapata pa kuendelea!

  Akikutukana unatulia kwanza alaf siku ya pili una mtumia sms ya kumwambia unaomba msamaha kwa usumbufu. Najua kuanzia hapo utapata muelekeo.

  Just try!
   
 20. kalou

  kalou JF-Expert Member

  #20
  Jul 21, 2012
  Joined: Aug 22, 2009
  Messages: 4,372
  Likes Received: 1,000
  Trophy Points: 280
  hah hah hah..
   
Loading...