Majibu yakiwa kinyume na ulivyotarajia itabidi umuulize tena vizuri mama yako maana kosa litakuwa siyo lako au la huyo ambaye umeambiwa kuwa ni baba yako.
Mrembo pole sana,ila kubaliana na matokeo yoyote sababu huna kosa hata kama sie baba yako muombe tu umuheshimu kama mzee wako...
Jazmine huu ushauri wa PakaJimmy ni mzuri naamini utakusaidia, sidhani kama mama yako atakuwa amekudanganya ukweli kuhusiana na baba yako well inawezekana ikatokea ingawa nisingependa ikatokea hivyo sababu i know italeta mtarafuku mkubwa between both families na mbaya zaidi kwa mama yako but piga moyo konde na muombe Mungu kila kitu kiende sawa sawiaMajibu yakiwa Neg naamini huyo baba hatakutupa.
Wewe uta'bank on the fact that huyo mtu ni rafiki wa mama yako, na ni mtu ambaye so far wanaheshimiana, basi inatosha!
Lakini kwanini usiangalie upande wa pili wa shilingi, yaani ikijulikana kuwa ni baba wa ukwel;i?
Majibu yakiwa Neg naamini huyo baba hatakutupa.
Wewe uta'bank on the fact that huyo mtu ni rafiki wa mama yako, na ni mtu ambaye so far wanaheshimiana, basi inatosha!
Lakini kwanini usiangalie upande wa pili wa shilingi, yaani ikijulikana kuwa ni baba wa ukwel;i?
Jazmine huu ushauri wa PakaJimmy ni mzuri naamini utakusaidia, sidhani kama mama yako atakuwa amekudanganya ukweli kuhusiana na baba yako well inawezekana ikatokea ingawa nisingependa ikatokea hivyo sababu i know italeta mtarafuku mkubwa between both families na mbaya zaidi kwa mama yako but piga moyo konde na muombe Mungu kila kitu kiende sawa sawia
uamuzi wa kupima ni kati yako wewe na baba yako ndugu unawahusu nini? mbona sie wabongo tunpenda kushadadia maisha ya ndugu zetu?
huna haja ya kuhofu, wanasema amjuae baba wa mwana ni mama, mradi mama alikwambia huyo ndo baba yako ondoa hofu nenda mkapime .......
vilevile kama na yeye anakupenda, anakuthamini na kukujali haijalishi majibu yatakua negative au positive ataendelea kukupenda na kukujali....
Kama baba na mama wanakubaliana kuwa wewe ni 'mtoto wao' suala la kipimo cha DNA lina umuhimu gani? Hao ndugu wanashinikiza kupima ili iweje?
Muulize kwanza mama ukweli maana wanasema mama asin giziwi mtoto
Jasmine, kupima DNA ndio kitu pekee kitakachokuondolea wasi wasi na kukuwezesha kujiamini kuwa huyo kweli ni Baba yako na sio mbuzi kwenye gunia. Kama ndugu wa Baba'ko wanang'ang'ania kupima DNA na wewe na unakataa, itawapa nafasi ya kuendelea kukutenga na kutokukudhamini kwa sababu watadhani kuna namna hapo na wewe ni king'ang'anizi tu, na hata ikitokea kwa bahati mbaya Baba'ko hayupo duniani itakuwia vigumu kukubalika miongoni mwa warithi wake kijamii, ingawa kisheria inawezekana. kwa maana hiyo ni vizuri ukafahamu ukweli. Kwa ushauri wangu, piga moyo konde pima hiyo kitu halafu utaishi kifua mbele ukijua kuwa huyo ndiye Dad wako. Tatizo ninalo liona kwa ni kwamba umeomba ushauri, lakini hauko tayari kupokea huo ushauri.
kwani...kwanza ilianzaje anzaje mpaka likaibuka hili swala la kupima DNA....kuna tatizo gani lililokuepo maana mpaka uamuzi wa kupima DNA uje si kwamba umeletwa tu ki mchezo mchezo....kulikuwa na tatizo gani!!?