watakuja watu kuisingizia nyeto, kumbe ni uoga binafsi wa mleta uzi.
Mleta uzi usijilinganishe na watu wengine, wewe kuwa wewe na fanya mitongozo mingi. Anza na wadada waliokuzidi umri angalau kwa miaka 8+, ukifanikiwa kwao hawa wadogo hawatakusumbua kabisa.
NB: Wake za watu achana nao, wanajeshi wana uwivu sana