[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii ya tigo buana wala usiogope na ukipokea wanakuwa kama wanatoa viadithi fulaniWana JF habari za muda huu,
Jamani kuna namba inanipigia simu kila wiki, yaani kila wiki lazima inipigie zaidi ya mara moja...Huwa nahofu sana kuipokea kutokana na simulizi mbalimbali zinazozungumzwa kutokana na namba hizi mpya. Namba yenyewe ni +255 901761234. Naomba kufahamu kuna yeyote alishawahi kupigiwa na namba hii akapokea?, ni namba ya wapi?
Hehe lipa deniVoda hao kila siku wanapiga!
Kuna wengine M pawa walikuwa wanapiga kila siku kidai deni lao inabidi nikipokea niwe nasikiliza kwanza nikijua wap tu sijibu chochote!
ππππ ntalipa tu! Zaman nilijua niko peke yangu na zile sms zao vitisho!Hehe lipa deni
Wee kumbe voda wanafika hadi huko ntaanza na mm kukopa ila naogopa maden sanaππππ ntalipa tu! Zaman nilijua niko peke yangu na zile sms zao vitisho!
Nikaja uzi flani humu ndani kuna watu wanadaiwa mpaka laki 6
Kama huna deni lolote that means wewe ni walking dead.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ntalipa tu! Zaman nilijua niko peke yangu na zile sms zao vitisho!
Nikaja uzi flani humu ndani kuna watu wanadaiwa mpaka laki 6
Hawa TALA wanagawa senti za mboga.Wana JF habari za muda huu,
Jamani kuna namba inanipigia simu kila wiki, yaani kila wiki lazima inipigie zaidi ya mara moja...Huwa nahofu sana kuipokea kutokana na simulizi mbalimbali zinazozungumzwa kutokana na namba hizi mpya. Namba yenyewe ni +255 901761234. Naomba kufahamu kuna yeyote alishawahi kupigiwa na namba hii akapokea?, ni namba ya wapi?
Wanafika aiseee mpawa ni nzuri mno ni vile tu mi nimelikoroga ko ata nikilipa hawawezi nikopa tena!Wee kumbe voda wanafika hadi huko ntaanza na mm kukopa ila naogopa maden sana
πππππππͺπͺπͺ
Sijawahi hata kufikiria kuomba kazi TRA mdau,,,namba nime-iblock kabisahao ni TRA wanaita watu kwenye interview, ndio umeshakosa hivyo.