Naogopa Kuoa Dar


Mna matatizo sana, kama kuna mdada katoka Morogoro kafikia kwa Kaka yake dar, utaacha muoa sababu mmekutania dar?
 
Nenda manyara ukaoe huko....
UWIIIIII huko si ndo maratiba ya foleni za kupokezana
 
mkuu we Oa tu,mie nimetoka Dar nikasema ntakuja kuoa mkoani,sasa hivi najuta natamani ningetoka na mke Dar.Sijaoa bado.
Mikoani kumevurugika...kuanzia mijini mpaka vijijini. Zamani ilikuwa ukioa Kijijini unaipata mke hasa, Sasa hivi vibinti vinaanza kuliwa na bodaboda Toka darasa la Tano! Alafu vibinti vya Kijijini havijui kukataa Kwa mgeni!

Ukioa Kisha ukaleta mjini unaolea bodaboda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…