Na aliambiwa anaugonjwa/tatizo lipi? Ukiweka wazi unaweza kupata ushauri mzuri zaidi juu ya uzazi1. Ilikuwaje ukaenda hospitali
2. Alipimwa kipimo gani
Thanks wakuu kwa ushauri na mmenipa moyo wa kusonga mbele.
Kuhusiana na tatizo nitaliweka JF doctor sababu naamini hapa nitapata ushauri wa kijamii na kule nitapata ushauri wa kitabibu.
Thanks.
HahahahaHujapenda bado!
Af nimekuona namna gani na sentensi yako mwisho.!aaaaaaaaaargh acheni hizo bana kama kipato na elimu yako ndo vitu PEKEE vinavyokutafsiri wewe basi chukua vyeti ufunge navyo ndoa i see.
Wea acha tu sijui kwanini huwa hawana huruma juu ya wenzao. Hivi huwa nami sielewi je kipi kinaanza kutaka watoto au upendo kat ya wawili hao. Manake nadhani watoto ni majaliwa.huwa naonea huruma sana watu wanaooa ili wapate watoto....
watoto wakikosekana ndo mwisho wa mapenzi
kuna siku niliwahi ambiwa ndo ni kwa ajili ya kuzaa, kitu ambacho sikubaliani nacho mpaka muda huuWea acha tu sijui kwanini huwa hawana huruma juu ya wenzao. Hivi huwa nami sielewi je kipi kinaanza kutaka watoto au upendo kat ya wawili hao. Manake nadhani watoto ni majaliwa.
[MENTION]FP[/MENTION] nakubaliana na wewe, hii dunia ina mambo mengi, wengine wanaoa ili wapate watoto, wengine wanakwambia wazi kuwa wanaoa ili wapate mtu wa kuwalelea watoto walioachwa na marehemu mke wake au mtalaka wake, wengine wanaoa ili wapate mtu wa kumpikia, kufua na kutunza nyumba. Wengine pengine wanaoa hata kuwa na mtu wa kupokea wageni wake, lol!kuna siku niliwahi ambiwa ndo ni kwa ajili ya kuzaa, kitu ambacho sikubaliani nacho mpaka muda huu