Mikopo Consultant
JF-Expert Member
- Oct 28, 2024
- 2,353
- 4,744
Sio maneo yote, na zingatia element ya mtoto kujitambua. Kuna mitaa kama kwa mrefu, sakina ipo amani sana na wahuni hamna, kumetulia.Chuga kwenye ulezi wa watoto ni hatari,
Lol arusha hawapo wengi, arusha wengi wanapita kutalii, ni wachache sana sana sana wanaobaki tena kwa kaziForeigners wengi wapo Arusha kuliko Dar, kwahiyo ushajichanganya tayari,
Sasa mbona watoto wengi wa vigogo ni mapunga?Ukiwa na Pesa, Hakuna shida
Ukiwa huja hela, Hata mtoto akikulia Moshi ni rahisi kua Mjinga mjinga tu
Bado lipo tatizo huko, tena mnavyozidi kulikataa ndipo linazidi kuwa kubwaSio maneo yote, na zingatia element ya mtoto kujitambua. Kuna mitaa kama kwa mrefu, sakina ipo amani sana na wahuni hamna, kumetulia.
Hata mitaa ya Unga ltd na Ngarenaro siku hizi imestaarabika.
Watu wanashindwa kuelewa vizuri, Arusha ya miaka ya nyuma ndo ilikuwa hatari kuliko sasahivi.
Udugu wangu poor nikajua basi Tena kumbe upo dunianiSio dar tuu malizia maeneo ya VINGUNGUTI
Huko unakutana na watu hata hawajali kama huyu ni mwanafunzi au laah
Sijamtaja mtu hapa ila atakuja mtu anajiita vishu na kuanza kujitetea ππππππ
Woga wake uko watu wa jamii yakoHapo sasa, aseme, woga wake uko kwenye angle ipi.
ππππππ
Kweli kabisa Kuna mitaa Dar kumepoa kama mikoani hakuna mambo ya ajabu kabisaMkoa mzima umepinda km viatu vya wadudu, atafurahi bora dar baadhi ya mitaa tupo kama mkoa tu
Maisha popote kijana anayelea mwana ni mzazi sio jijiKitu ninachokiogopa katika haya maisha ya Dunian ni kwamb kumlea mwanangu Dar es salaam wallah Naogopa
Wadudu watabishaKweli kabisa Kuna mitaa Dar kumepoa kama mikoani hakuna mambo ya ajabu kabisa