Izc JF-Expert Member Joined Aug 4, 2015 Posts 546 Reaction score 368 Jul 17, 2017 #1 Habari wanajukwaa, nahitaji kununua simu kama kuna mwenye simu mpya au used(lakini iwe katika hali nzuri). Bei yake i-range kati ya 160,000- 180,000. Niko Bukoba.
Habari wanajukwaa, nahitaji kununua simu kama kuna mwenye simu mpya au used(lakini iwe katika hali nzuri). Bei yake i-range kati ya 160,000- 180,000. Niko Bukoba.
N nsereko m JF-Expert Member Joined Jul 28, 2015 Posts 2,930 Reaction score 2,174 Jul 17, 2017 #2 sawa watakuja wasubiri.
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 45,911 Reaction score 56,089 Jul 17, 2017 #3 Maduka ya simu hamuyaoni.au unataka kutapeliwa tu. Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Maduka ya simu hamuyaoni.au unataka kutapeliwa tu. Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Vera ginger JF-Expert Member Joined Dec 25, 2016 Posts 1,463 Reaction score 1,915 Jul 17, 2017 #4 Izc said: Habari wanajukwaa, nahitaji kununua simu kama kuna mwenye simu mpya au used(lakini iwe katika hali nzuri). Bei yake i-range kati ya 160,000- 180,000. Niko Bukoba. Click to expand... Sawa nina j1 kwa 150 Post sent using JamiiForums mobile app
Izc said: Habari wanajukwaa, nahitaji kununua simu kama kuna mwenye simu mpya au used(lakini iwe katika hali nzuri). Bei yake i-range kati ya 160,000- 180,000. Niko Bukoba. Click to expand... Sawa nina j1 kwa 150 Post sent using JamiiForums mobile app
dingihimself JF-Expert Member Joined Jan 9, 2016 Posts 9,812 Reaction score 20,319 Jul 17, 2017 #5 Izc said: Habari wanajukwaa, nahitaji kununua simu kama kuna mwenye simu mpya au used(lakini iwe katika hali nzuri). Bei yake i-range kati ya 160,000- 180,000. Niko Bukoba. Click to expand... Chukua hii ila nipo dartecno camon c7 Ipo ktk hali nzuri
Izc said: Habari wanajukwaa, nahitaji kununua simu kama kuna mwenye simu mpya au used(lakini iwe katika hali nzuri). Bei yake i-range kati ya 160,000- 180,000. Niko Bukoba. Click to expand... Chukua hii ila nipo dartecno camon c7 Ipo ktk hali nzuri
Kaplizer JF-Expert Member Joined Apr 27, 2014 Posts 726 Reaction score 597 Jul 17, 2017 #6 Njoo nikupe samsung s3 kwa 180k Sent from my GT-I9300 using JamiiForums mobile app
zipompa JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 12,179 Reaction score 26,373 Jul 17, 2017 #7 njoo nkupe tecno Y6, nipo maeneo ya bunena beach-kastamu huku