Hapo juu kidogo ya jukwaa hili, kuna jukwaa jingine la matangazo madogo madogo, pale ndio unatakiwa kuweka hili tangazo lako hapa sio mahali pake. Vile vile ili watu wakusome vizuri na haraka inabidi ubadilishe tittle, andika "Nina nunua Scrap za motherboard za simu", halafu hapo chini ndio uweke maelezo kamili kuhusu hizo motherboard za simu unazozihitaji, bei na jinsi ya kuwasiliana na wewe.
Good lucky!