Nanunua pikipiki aina ya baja

Nanunua pikipiki aina ya baja

yonga

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2012
Posts
1,999
Reaction score
2,284
Kama kilivyo kichwa cha habari hapo juu,nina shida na pikipiki aina ya Baja ya mtumba hasa kwa ajili ya matumizi ya shambani,nikipata XL 250 itakuwa vizuri budget yangu ni 6mil tunaweza kuongea pia,unaweza kuni PM asanteni sana
 
Back
Top Bottom