Nanunua mashudu ya pamba

Yaga

Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
27
Reaction score
7
Na nunua mashudu ya pamba, nahitaji tan 10. bei kwa kilo shs 200. kwa mwenye nayo ni pm
 
Kwa bei hiyo utasubiri sana. Ukipanda hadi shs 700 kwa kilo nitupie PM....
 
kiwandani mashudu ya pamba tani moja shilingi laki nne sasa mpaka yakufikie weka laki saba kwa tani.(4k ni bei ya msimu ulopita 2013 kwasasa sina uhakika sana ngoja nifuatilie)
 
naona mleta uzi huo labda hajui thamani ya bei ya sasa au atakuwa mtu wa kati....kwa bei aliyeitaja hapo angenda kwa wenyewe huko wange mngangania kwikwikwikwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…