Uku mikoani tu kilo sh 400, sasa we upo dar kilo iwe 200?Kwa mtu yoyote anayeuza mahindi ninanunua nipo dar bei ya kilo kwa sasa nanunua tani moja kwa laki mbili (200,00)
Yaani kilo kwa 200
Mawasaliano 0719076235, 0769825138
Ha ha haaa ila good news ni kuwa hatopata hata kilo 1Jamani Tuoneeni Huruma
Hakika ama ulime kidogo kwa ajili ya kula.Huku Ngara kuna sehemu wanauza kilo 150.
Daah! Mkulima ana kazi sana. Silimi ng'o.
Labda nilime bangi ndio zina hela.
Hili ndilo neno sasa...Hakika ama ulime kidogo kwa ajili ya kula.
Hata kidogo silimi kama naweza kupata kilo kwa 150..nalima kwanini sasa?Hakika ama ulime kidogo kwa ajili ya kula.
Kwa hali hiiiKwa mtu yoyote anayeuza mahindi ninanunua nipo dar bei ya kilo kwa sasa nanunua tani moja kwa laki mbili (200,00)
Yaani kilo kwa 200
Mawasaliano 0719076235, 0769825138
Mkuu debe kwa 14000 kwa mwaka huu bei haiwezi kufika hukoUkisikia jizi na fisadi ndio hili yaaan wakati huu wa kupanda mahind sio kuvuna ambapo debe moja si chini ya 14000 we unataka tani moja kwa 200000 ??? Kia na huruma ni mahindi gani hayo hata bei ya pumba kwa kilo am sure ni zaidi ya 200 dah nimechukizwa manina zako