Habari wana jf, baada ya muda nimerejea tena online kwa wana Mwanza kama kichwa kisemavyo nahitaji magari aina zote ya kisasa, kizamani, yanayotembea, yaliyoharibika au yaliyopata ajali. Kumbuka sinunui gari ya kutumia bali kukatakata na kulipima, namba zangu ni 0753366253 nitakufikia baada ya masaa machache ukinitafuta kwa wakazi wa Mwanza.