Nanunua line ya Tigo Pesa

Nanunua line ya Tigo Pesa

sagemba

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2013
Posts
467
Reaction score
30
Wakuu mwenye laini ya tigo pesa nanunua, dau ni 120k , mwenye nayo tufanye biashara
 
mi ninayo laki sita tuu, 0656299246
 
mpesa tigo pesa , no faida . ukweli biashara nyingine ni za kuigana au sifa tu,
 
mkuu nataka kupeleka kijiji kimoja hivi wanahitaji sana hiyo huduma

Kama unapeleka kijijini nenda Tigo waeleza kuwa kijiji fulani hakina hiyo huduma watakupa au kukuelekeza kwa wakala ambaye atakupatia, na sometimes kama kuna ofisi iliyo karibu na kijiji hicho(mkoani au wilayani) watakuunganisha nayo, kwani sasa hivi priority yao iko uko .
 
thnx mkuu nitafanya hivo
 
Nenda mkuu tigo ukipata tigo njoo utuambie na sisi
 
Line ya tigo pesa ipo inapatikana kwa laki nane serious buyer ani pm
 
Back
Top Bottom