Nanunua King'amuzi cha Azam

Nanunua King'amuzi cha Azam

jashmoe32

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
1,098
Reaction score
437
Nanunua king'amuzi cha Azam kwa mtu yoyote anaeuza.Kwa mtu anaeuza king'amuzi kwa sh 30,000 naomba ani pm ili ninunue as soon as possible.

Napatikana Dar es Salaam
 
da hata star time kwa bei hyo huwezi kupata.Hv kwanini watz wengi tunapenda sana dezo?
 
pandisha dau kaka hata buku 90 iv utawapata
 
Back
Top Bottom