Nanunua hisa za Nicol kwa shs 120@

Nanunua hisa za Nicol kwa shs 120@

Godwine

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2010
Posts
1,371
Reaction score
286
[h=2]Nimeamua kuwapunguzia machungu wanahisa wa nicol kwa kuanza kununua hisa zao kwa shs 120 kwani ndani ya mwaka huu kunauwezekano wa kampuni kufa kabisa[/h]
 
unajua wanakufa afu unanunua..
haha, we ni maskini, ungekua tajiri ungejua kumaintain hela ilivo muhimu! ikipotea si rahisi kuitafta tena.
 
Sasa kama inakufa, iweje weye mwenzetu uamue kununua hizo hisa?
Kuwa muwazi tuu mkuu kama kuna nyeti za kwenye korido umezisikia, maana biashara ya stock huwa inasukumwa sana na rumours!
 
Ninanunua hisa hili niweze kumiliki maeneo yake ikiwemo ya kiwanda cha samaki cha Mwanza nitunzie Pamba
 
Back
Top Bottom