Nanunua Hela na Dollar mbovu

Nanunua Hela na Dollar mbovu

frema120

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
5,098
Reaction score
1,341
Nikiwa kariakoo, nikajikuta nikipitiwa na kipaza sauti kikiimba wimbo huo, nikashituka sanaaaa.

Kwani wanapeleka wapi hizo pesa, na inakuwaje wanunue pesa kwa pesa? sheria zinaruhusu kuchezewa hela kwa njia hii.
 
Bureau de change wananunua hela kwanini, kama sio hela kwa hela?
 
Upeleke wapi hizo mbofumbofu?
Acha Sinema bwana....
 
Kipi cha àjabu kilichokushutua?!
 
Back
Top Bottom