Aweke wazi anataka gari ya aina gani
Yah.......mafundi tujue.....
Yah.......mafundi tujue.....
Kwa bei hiyo, fundi una uhakika wa kazi.
Nilijua ni zile za south za vijana wa zamani 240!Benz natengeneza hizi tu........hi hi.....
Habari wadau
Nina million 5 wadau natafuta gari
Habari wadau
Nina million 5 wadau natafuta gari
mwambie mwenyeweAweke wazi anataka gari ya aina gani
He he he......wewe.......hujui mimi ni fundi eeeh...... BIGURUBE unadhani hajui anachosema..........
Kama upo mwanza kuna jamaa ana shida hivyo anauza Rav 4 yake kwa mil 5.7.